Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

His blood has not gone in vain. We are to avenge it soon, we're gonna send them our "greetings", we believe wherever u're Ben u have been watching to see who is gonna take practical steps to teach them that Tanzania is for all Tanzanians and not for their fucking cursed souls, here we are braza, unafraid, strong with courage to take them down, one by one till they're all gone. May GOD be with us
 
Malipo yapo hapa hapa tunapoishi. Nawewe subiri malipo yapo na si muda sanaaaaa
Kama kuna kitu huyu fedhuli TumainiEl alidhania kimakosa, ni hapo alipodai eti “atakufa na hataweza kuja kuchangia humu tena”, kwamba atauwawa na kusahaulika kama watu wengine!

Sasa kizazi hiki rekodi zimo humu milele.
 
Na mara nyingi sifanyi hivyo. Kwa maksudi mazima.

Kwa kawaida magazeti yako humu huwa sina muda nayo kabisa.
Kama huna muda na hayo magazeti yake sasa unajuaje kama ni magazeti kama hujayasoma?? Hopeless comment ever!!
 
Kama huna muda na hayo magazeti yake sasa unajuaje kama ni magazeti kama hujayasoma?? Hopeless comment ever!!
Itakuwa ni "hopeless comment" kwa mtu kilaza kama wewe, kwa sababu hujui njia zinazotumiwa ku'assess' vitu kama hivyo badala ya kutumia muda mwingi kulisoma gazeti zima. Kama hujui njia hizo, huwezi kuelewa.
 
Tunapoenda kuchagua rais kumbukeni hii message ya mwendazake Ben! aliyetoweshwa kwa kudai uhalali wa PHD ya mtu ambaye hata sentensi ya kiingereza inamgonga! Mtu ambaye hata logical thinking ni shida! Mtu ambaye hataki mshindani hata kwenye chama chake! Mtu ambaye anahofu kubwa pamoja na kumiliki Jeshi lenye mizinga, ndege za kivita na wanajeshi kibao dhidi ya watu wasio na fimbo. Dhidi ya watu ambao silaha pekee walio nazo ni hoja zenye mantiki na hekima inayovutia hadhira!
 
Watu wanajifanya wana uchungu na watu wengine huku wakileta machungu kwa watu wengine. Ben naye alikuwa na haki ya kuishi, bora angeondoka kwa kuumwa kuliko kukatishwa uhai wake. Ipo siku
 
Back
Top Bottom