Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Hivi yule alie pigwa bom akasambaratika kama udongo ni mwandishi gani ? Nimesahau jina lake.

Watu wanao fanya utetezi wa haki za wenzao ni hatare sana kwa maisha yao
 
Wanasema malipo hapahapa,lakini Mbona siyaoni na Kwanini yanachelewa..... Mungu naomba ujibu maombi yangu kwa wote waliohusika na waliosita kuchukua hatua
 
RIP Ben, najua damu yako inalia na 'watesi' wako, Mwenyezi Mungu akashushe upanga wa moto kwao na waangamie kwa mateso makali mara 100 ya yale waliokupa wewe na familia ya wazazi wako.
 
TumainiEl
 
Daah acheni kututonesha madonda jamani, kuna mwingine jana kaamsha zile picha za Mawazo akiwa anakata roho kwenye majani baada ya kukatwa mapanga
 
Wanasema malipo hapahapa,lakini Mbona siyaoni na Kwanini yanachelewa..... Mungu naomba ujibu maombi yangu kwa wote waliohusika na waliosita kuchukua hatua
Sio lazima uletewe barua kujuilishwa hata yale ya kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe na kuanguka kwenye ngazi wakasingizia kupigwa pengine ndio malipo hayo yanaanza
 
Sio lazima uletewe barua kujuilishwa hata yale ya kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe na kuanguka kwenye ngazi wakasingizia kupigwa pengine ndio malipo hayo yanaanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…