residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Yaani unashangaa mtu kuhoji phd akati huko Marekani walidai Trump ni kichaa hadi akaenda kupimwa akili. Africans are somehow shith*les.Mtu hapaswi kuhoji kwenye nchi huru?
Nyie mmebaka demokrasia mchana kweupe.Afrika Mashariki lazima iwe mfano bora kwa nchi nyinginezo haswa zenye demokrasia thabiti na Uhuru.
Kalb hayawan.
🤪🤪Ben Ben Ben , damu yako itamlilia mhusika mpaka kizazi chake cha nne
Kusema ni tofauti kabisa na kutekeleza. Kwani awamu zote hawakuwepo wamelifikisha wapi taifa kipindi hichoKuna watu huko Tanzania ni vichwa balaa,kwenye ngazi kuanzia vijiji/mitaa mpaka taifa, na wana mawazo na mikakati mingi mizuri ya kulitoa taifa hapa lilipo kulipeleka kwenye hatua nzuri zaidi. Lakini kutokana na hali ilivyo kwa awamu hii,hawapo tayari kujitokeza,kwa kuogopa kupotezwa.
Mwenyezi Mungu Muumba/Yahweh/Jehova mwenyewe anasema nikumbushe tuhojiane,sembuse sisi binadamu!
Isaya 43: 26
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Hivi unajua walio nyuma ya kuanzishwa kwa NBC? Hivi unajua walio nyuma ya kuanzishwa kwa TAZARA?Kusema ni tofauti kabisa na kutekeleza. Kwani awamu zote hawakuwepo wamelifikisha wapi taifa kipindi hicho
✓ Kila nafsi itaonja mautiTutazidi kukuombea hadi tujue hatima ya mahali ulipo uwe hai ama marehemu.
Ukweli utakuwa wazi maana Mungu anazidi kushughulikia walioshiriki ubaya juu yako.