residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kuna watu huko Tanzania ni vichwa balaa,kwenye ngazi kuanzia vijiji/mitaa mpaka taifa, na wana mawazo na mikakati mingi mizuri ya kulitoa taifa hapa lilipo kulipeleka kwenye hatua nzuri zaidi. Lakini kutokana na hali ilivyo kwa awamu hii,hawapo tayari kujitokeza,kwa kuogopa kupotezwa.
Mwenyezi Mungu Muumba/Yahweh/Jehova mwenyewe anasema nikumbushe tuhojiane,sembuse sisi binadamu!
Isaya 43: 26
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Mwenyezi Mungu Muumba/Yahweh/Jehova mwenyewe anasema nikumbushe tuhojiane,sembuse sisi binadamu!
Isaya 43: 26
Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.