Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

RIP.
 
Aliyemmaliza saa8 hayupo tena.
Lakini karma aijamaliza Kazi yake kwenye chain nzima ya umauti wake ni lzm ipige we kama ulishiriki tulia tu uvune.Kuna wakamataji,dereva,na wote waliofanikisha mchakato.
 
Lakini karma aijamaliza Kazi yake kwenye chain nzima ya umauti wake ni lzm ipige we kama ulishiriki tulia tu uvune.Kuna wakamataji,dereva,na wote waliofanikisha mchakato.
Wewe jamaa
 
RIP Ben
 
6 years later
 
Mkuu Ben, tupe update mambo yanakwendaje huko? jamaa kashatinga ? !!
- sisi huku bado ndiyo tumeanza vuguvurugu la kudai katiba - kazi ni nguvu ila Mwenyezi Mungu atatuvusha tu.. Lissu alitandikwa marisasi kibao nusu kifo..ila Muumba kamponya.... yupo uhamishoni Belgium - CCM kama kawaida yao waliiba uchaguzi wote wa 2020 imagine sasa hivi bunge 100% ni lao !! yaani mambo ni shaghala bagala humo bungeni.
 
Kwa kweli, hii ni kati ya nyuzi za JF ambazo zinanipa majonzi sana kila nikiipitia.
Ni nyuzi ambayo inatonesha vidonda na maumivu makali. Inatukumbusha pia namna ambavyo tulim let-down Ben Saanane. This guy was crying out aloud kuwa anatafutwa auwawe. What did we do really? Daaaahhhh! So sad.
Watanzania wote tunatakiwa kujisikia aibu sana kila tukiiona hii thread. So sad.
 
Huyu jamaa angekufa kwa kuipigania INJILI YA MUNGU, ningesema amekufa kifo cha faida maana UFALME WA MUNGU ni faida kuliko kitu chochote kile.

Lakini sasa yeye amekufa kwa kuupigania ufalme wa kibinaadamu, ufalme usiokuwa na faida yoyote, ufalme ambao hajaupata, na kamwe hawezi tena kuupata, na hata aliokuwa nao hawawezi kamwe kuupata.

Hii ndiyo ile inaitwa "kujilisha upepo" ubatili juu ya ubatili. Mtu unapoteza muda na uhai kupigania "upumbavu", siasa ni "upumbavu".

Ben Saanane akiwa kama Mkristo alipaswa kutambua maneno ya YESU KRISTO, "utafuteni kwanza UFALME WA MUNGU na haki yake na hayo yote mtazidishiwa".

Vijana wa Kikristo jifunzeni kupitia makosa ya wenzenu, kitu cha kwanza ukiwa kama kijana unapaswa kujua dhumuni la MUNGU kumuumba Mwanadamu.

Ukishayajua makusudi ya MUNGU, sasa hapo ndipo unaweza kuyapeleka maisha yako katika njia iliyonyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…