Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Mkuu, Ben Saanane yuko wapi? Bado una msimamo ule ule?
 
Rudi tena kuandika
 
Yani mtu
Yani mtu unaangaika kusoma miaka yote alaf unakuja kufa kijinga jinga tu kwa kujitakia sasa muda wote huo alipoteza ada muda maalifa na vingne vngne si bora wazaz wake wangekula kuku tu unakuja kufa kijinga kwel, unataka legacy haya umepata then what?

Vitu vngne vinachekesha sana
 
Mbaya zaidi hao anaowapigania wala hakuna hata mmoja anayemsaidia, wao wapo busy, usiku wanalala na wake zao yeye Mdude ananyea debe.
Mwenyezi Mungu alitupendelea sana binadamu kwani, tofauti na wanyama wa porini, alitupa akili. Hata hivyo tatizo letu kubwa likatokana na uhuru aliotupa wa namna tunavyotumia akili hizo na maamuzi tunayochukua.

Mathalani tunaweza kuamua bora maisha kama wanyama wa porini bila kufikiria namna ya kuboresha maisha tunavyoishi. Lakini pia tunaweza kutumia hizo akili kujipa maisha bora au kwa lugha rasmi kujipa maendeleo.

Changamoto tulizokuwa nazo binadamu toka tunaumbwa ni nyingi lakini pia silaha ya kukabiliana nazo tukajaaliwa, akili. Kwa akili tunapaa angani kama ndege, tunasafiri majini kama samaki na hakuna kiumbe kinatutisha.

Kwa kuwa sote tuna akili, uhasama baina yetu unatokana na utofauti katika maamuzi yetu kimaendeleo. Mashindano ya hatari yanayovikabili viumbe vyote ulimwenguni yako baina yetu sisi kwa sisi...binadamu kwa binadamu.

Wako wasema ukweli na waongo, wapo majasiri na waoga, wapo wenye msimamo na wanafiki, wapo wanaotumia akili na wapo waliozipa akili zao likizo na mwisho wapo wanaoteseka juani ili wavivu wa akili wale kivulini!

Wapo walioteseka na kupoteza maisha ili wenzao wawe huru, wapate haki na usawa na wapo wanaoshangaa Mdude kunyea debe na kujilisha upepo bila wa kumsaidia huku Son of Gamba yuko busy, usiku analala na mke wake!

Asanteni sana...Baba wa Taifa, Nelson Mandela, Martin Luther King na wengineo...all you ever wanted was for the world to be a better place to live!

Asanteni mliohangaika na wengine kupoteza maisha kugundua ndege, kugundua dawa, kugundua simu hadi ya mkononi...
 

kwa hiyo ww ambae hujitakii kufa utaishi milele?? kama utakufa unasoma ili iweje [emoji205]
 
Yani mtu
Yani mtu unaangaika kusoma miaka yote alaf unakuja kufa kijinga jinga tu kwa kujitakia sasa muda wote huo alipoteza ada muda maalifa na vingne vngne si bora wazaz wake wangekula kuku tu unakuja kufa kijinga kwel, unataka legacy haya umepata then what??
Vitu vngne vinachekesha sana
kwa hiyo ww ambae hujitakii kufa utaishi milele?? kama utakufa unasoma ili iweje [emoji205]
tatizo sio kufa kila mtu atakufa tatizo ni kufa kwa ujinga wako
 
Asanteni sana...Baba wa Taifa, Nelson Mandela, Martin Luther King na wengineo...all you ever wanted was for the world to be a better place to live!
Umeandika gazeti refu but all of it is just rubbish.
For instance, huyo Mdude anapigania uhuru wa nini? Je, Tanzania hatupo huru?

Nonsense kabisa!! Tanzania tupo huru na maisha yetu yanaendelea halafu wewe unakuja hapa na kuwalinganisha akina Mandela na mjinga mjinga Mdude au Ben Saanane?

That is absurd! Those guys (Mdude and Ben Saanane) didn't know the course of what they are fighting for, they were mere puppets, manipulated by some stupid politicians for their own gain.
Ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha SGR kwa kijana kukubali kutumiwa na wanasiasa wahuni wenye uchu wa madaraka na tamaa. Kijana anapoteza maisha yake au anaharibu future yake kwa kuwa brainwashed akiamini anapigania "uhuru" wakati yeye mwenyewe amezaliwa katika nchi iliyo huru.

Ndugu, acheni kabisa kuharibu watoto wa wenzenu kwa manufaa yenu binafsi.
 
Mbona hata huyo dhalimu mliyemwabudu kafa kishenzi kama alivyoishi kishenzi? Eti yuko ofisini anachapa kazi, upumbavu mtupu. Unajua maana ya uchu wa madaraka? Huwaoni wenye uchu wa madaraka wameng'ang'ania hayo madaraka kama kupe na bila aibu wanadai hawaachii ng'o hata kwa miaka mia! Punguza jazba na kukurupuka wewe kijana mpuuzi...


Kamlilie na huyu kijana mwenzako...malipo ni hapa hapa duniani!​
 

Ulitaka aumwe malaria ndio afe kwa ujanja??

Kima [emoji205][emoji205][emoji205] Kama kafa kwa ujanja umeona amehukumiwa kifo?? kama alivunja sheria si amgepigwa risasi hadharani? kwanini apotee?

BTW who stated kuwa Ben kafa?? unaweza thibitisha??
 
Hii wakuu ijulikane tu huyu kijana mwenzetu
 
Unamuua mtu anaondoka duniani kisha nawe unaondoka duniani mnakutana huko unampokea unamwambia kiko wapi uliniuwa ukidhani utaishi milele duniani.

Thus mtu mwenye akili timamu hawezi uua mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…