Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Eti Huyu ndio anashangaa Lissu kuwa hai leo !

Kila ubaya utalipwa tu
 
hivi unajua mpumbavu huwa hajijui kama yeye ni mpumbavu? na mtu huyo ni wewe. chadema ni chama tu kama vyama vingine, kama sisiemu tu,nacho kinapambana kupata madaraka ili wale keki. ni siasa tu hizi, wala hakuna anayepigania taifa lake moja kwa moja. majority wanapigania tumbo, familia na utajiri. kupigania taifa ni ngao tu ya kuonyesha mbele za watu.
Watu wangekuwa na mawazo mgando Kama yako mpaka leo hii tungekua chini ya wakoloni
 
Hilo linafahamika na hii ndio sifa ya JF, lia haliondoi ukweli Melo anamjua unless alijisajili kwa taarifa za uongo.
Maxence Melo aliwahi kusema kuwa JF inasajili wanachama wake kwa kutumia mifumo ya kiroboti (Robotic online registrations or automatic registration) ambayo binadamu hausiki labda mpaka atake kufanya hivyo na siyo rahisi kihivyo.
 
Maxence Melo aliwahi kusema kuwa JF inasajili wanachama wake kwa kutumia mifumo ya kiroboti (Robotic online registrations or automatic registration) ambayo binadamu hausiki labda mpaka atake kufanya hivyo na siyo rahisi kihivyo.
Nakumbuka kulikuwa na kesi ya serikali kutaka JF iwaanike watuhumiwa kuhusiana na habari fulani iliyowahi kuandikwa hapa JF, kesi ambayo nahisi JF waliibuka kidedea.
 
Back
Top Bottom