Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mwiba moyoni mwangu kwa kweli... Ujinga wa kuona maisha ya binadamu hayana thamani hunichoma moyo sana. Unaua halafu unataka watu wachukulie kawaida...Vipi hili swali mbona Kama umesakamwa na mwiba?
Nikutahadharishe tu ndugu yangu, samaki huwa hanuki shombo maana yeye ndiyo shombo lenyewe...Vipi hili swali mbona Kama umesakamwa na mwiba?
[emoji38][emoji38][emoji38]Ikiwepo mbinu za jadi. Hivi mkuu Mshana Jr hamna mafundi wa kuweza kumuotesha usoni sehemu za siri na akaumbuka kisha sie wote hapa JF tukajua ni jamaa tuu?
Pole Sana,endelea kujituliza lakiniNina mwiba moyoni mwangu kwa kweli... Ujinga wa kuona maisha ya binadamu hayana thamani hunichoma moyo sana. Unaua halafu unataka watu wachukulie kawaida...
Msamiati mzuri.Nikutahadharishe tu ndugu yangu, samaki huwa hanuki shombo maana yeye ndiyo shombo lenyewe...
Wewe ndiyo unatikisika na kuona wengine wanatikisika pia. Hebu jikalishe chini uone kama unaowaona hawajatulia kama hawajatulia.Pole Sana,endelea kujituliza lakini
Unapenda mipasho Sana eeh??mi Sina mood hiyo aiseeWewe ndiyo unatikisika na kuona wengine wanatikisika pia. Hebu jikalishe chini uone kama unaowaona hawajatulia kama hawajatulia.
Mipasho.... siyo wa Type hiyo... ila kwangu unavyokuja ndivyo unavyopokelewa. Sipendi mtu anayeshabikia mateso ya wengine hata kidogo.Unapenda mipasho Sana eeh??mi Sina mood hiyo aisee
Hebu nionyeshe niliposhabikia mateso ya mtu tafadhali.Mipasho.... siyo wa Type hiyo... ila kwangu unavyokuja ndivyo unavyopokelewa. Sipendi mtu anayeshabikia mateso ya wengine hata kidogo.
Soma mabandiko yangu uone kama napenda mipasho. Ila sipendi mtu anayeleta dhihaka kwenye mambo ya maisha ya wengine eti kwa kuwa tu anatumia jina bandia.
Shetani hana rafikiPole Sana,endelea kujituliza lakini
Shetani anaongoza kwa marafiki.ovaShetani hana rafiki
Nasubiri unioneshe nilipoleta dhihaka ,njoo na factMipasho.... siyo wa Type hiyo... ila kwangu unavyokuja ndivyo unavyopokelewa. Sipendi mtu anayeshabikia mateso ya wengine hata kidogo.
Soma mabandiko yangu uone kama napenda mipasho. Ila sipendi mtu anayeleta dhihaka kwenye mambo ya maisha ya wengine eti kwa kuwa tu anatumia jina bandia.
Sijui kama umezaa au laah, kama bado hujazaa, yaani huna familia basi endelea kutamka matapishi yako juu ya huyo meko.Wacheni apumzike Sasa.
Achana nae mpuuzi huyo, ben kaacha familia, kaacha mks wa watoto na wazazi pia.Mipasho.... siyo wa Type hiyo... ila kwangu unavyokuja ndivyo unavyopokelewa. Sipendi mtu anayeshabikia mateso ya wengine hata kidogo.
Soma mabandiko yangu uone kama napenda mipasho. Ila sipendi mtu anayeleta dhihaka kwenye mambo ya maisha ya wengine eti kwa kuwa tu anatumia jina bandia.
Una uhakika bangi uliyovuta imekauka vizuri?Sijui kama umezaa au laah, kama bado hujazaa, yaani huna familia basi endelea kutamka matapishi yako juu ya huyo meko.
Mimi ni mwanaume, ni baba. Ninajua malezi ni nini, hasa kwa mtoto wa kiume. Kila baba hutamani kumuona mwanae wa kiume akiwa bora zaidi yake.
Mtu yoyote anayezima ndoto za mtoto wako huwezi kumuelewa kwa namna yoyote ile. Ni rahisi saana kwako kumdefend maguful asisemwe kwa mabaya yake endapo kama huna familia, hujawahi kulea mtoto kisha anapotea ktk mazingira kama yale.
Mshukuru Mungu saana Ben Saanane hajatoka kiunoni mwako, shukuru saana kwa hilo, shukuru sio wewe uliyemlea na kufikia pale alipofikia.
Na sio Ben tu, hata Lissu pia. Shukuru wewe sio mama wa watoto hawa au baba wa watoto haw
Mwenzio kashindwa kutoa fact wapi nimeleta mzaha na wewe umerukia treni kwa mbele.....Achana nae mpuuzi huyo, ben kaacha familia, kaacha mks wa watoto na wazazi pia.
Ni familia pekee ndiye inayotambua majonz wanayopitia na watanzania wachache walio na huruma lakini sio wapumbavu kama hawa.
endelea kumkufuru MunguShetani anaongoza kwa marafiki.ova