Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Eti Huyu ndio anashangaa Lissu kuwa hai leo !

Kila ubaya utalipwa tu
 
Watu wangekuwa na mawazo mgando Kama yako mpaka leo hii tungekua chini ya wakoloni
 
Hilo linafahamika na hii ndio sifa ya JF, lia haliondoi ukweli Melo anamjua unless alijisajili kwa taarifa za uongo.
Maxence Melo aliwahi kusema kuwa JF inasajili wanachama wake kwa kutumia mifumo ya kiroboti (Robotic online registrations or automatic registration) ambayo binadamu hausiki labda mpaka atake kufanya hivyo na siyo rahisi kihivyo.
 
Nakumbuka kulikuwa na kesi ya serikali kutaka JF iwaanike watuhumiwa kuhusiana na habari fulani iliyowahi kuandikwa hapa JF, kesi ambayo nahisi JF waliibuka kidedea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…