Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

We kilaza kweli umesema magufuli ndio kamuua nimekuambia leta picha ya magufuli kumuua huyo saa nane na kuhusu kupotea yeye sio wa kwanza na hatokua wa mwisho kwenye hii dunia leta picha magufuli akimuua huyo saa nane kuandika hata Mimi naweza kuamka asubuhi nikaandika utumbo kama huu Ili tuamini leta picha lasivyo hizi ni porojo tu za vijiweni
 
We ni mat....
 
We kilaza kweli umesema magufuli ndio kamuua nimekuambia leta picha ya magufuli kumuua huyo saa nane na kuhusu kupotea yeye sio wa kwanza na hatokua wa mwisho kwenye hii dunia leta picha magufuli akimuua huyo saa nane kuandika hata
Unaonekana ni miongoni mwa waliomkamata Ben na kumpeleka kwa dikteta uchwara maana unahamaki tu bila kujibu swali nimesema kama Ben hakuuliwa yuko wapi leo hii mwaka wa 8 basi kama hajauliwa kamlete.
Mimi naweza kuamka asubuhi nikaandika utumbo kama huu Ili tuamini leta picha lasivyo hizi ni porojo tu za vijiweni
Andika tukione hicho kitabu ambacho sasa utueleze Ben yuko wapi.
 
Mungu yupo damu yako haitokwenda bure. 🙏🙏
 
Duu!
 
hakuna damu ya mwanadamu asiye na hatia iliwahi kumwagika isilie kwenye ardhi, itaendelea kutoa machozi ikilia mbele za Mungu na wauaji watapata malipo yake.
 
Hivi kwanini hadi leo JF hawajaweka nembo ya RIP kwenye profile ya Ben Saanane?

Pumzika kwa amani rafiki yangu Ben, Mungu alishaweka mzania sawa.
Walau marafiki zako tulifarijika.
 
Hivi kwanini hadi leo JF hawajaweka nembo ya RIP kwenye profile ya Ben Saanane?

Pumzika kwa amani rafiki yangu Ben, Mungu alishaweka mzania sawa.
Walau marafiki zako tulifarijika.
Nao wanaogopa
 
Dah,rest in peace Mtz
 
Najikumbusha Ben Saanane
RIP Ben Saanane.
P
 
Mkuu uliemuambia ukweli ila akaupuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…