Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
" Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata.Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu .You are too young to die. Tunajua utaandika na hili.Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha.Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia.Andika Ben.Andika sana ,ongea.Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"
"Doubt" zake ziko sahihi!mhn!Interesting. Anyways, alama ya green dot kama ulivyosema, ni indication kuwa the person/member is currently online.
Madaraka yanafikia mahali binadamu hakumbuki kua ipo siku nae hata kuepo.Ooh, My God!.
Hata Namba ya simu iliwekwa lakini hakuna lililofanyika? Mzee wa watu hana hili wala lile analoweza kufanya juu ya mwanae?
Hii mbona inasikitisha!
Kama kuna kuoneana duniani, hakuna kunakozidi aina hii ya kuonewa!
Kwenye "status ya last seen" ndivyo inavyoonekana?"Doubt" zake ziko sahihi!
Mods wanapaswa kufafanua ili kutupunguzia shaka watumiaji wa jukwaa hili.
Kwani inaonekana Leo tarehe 29/10/2018 SAA 22:42:03 account hii ya Ben Saanane ilikua online.
Ni vyema tukaelezwa je mods ndio wanayonywila ya I'd husika ama ni "watesi" wake ndio wanaitumia kwa sasa?
Wasiwasi ndio akili!!
Ukitaka kujua last seen yake tumia web sio app"Doubt" zake ziko sahihi!
Mods wanapaswa kufafanua ili kutupunguzia shaka watumiaji wa jukwaa hili.
Kwani inaonekana Leo tarehe 29/10/2018 SAA 22:42:03 account hii ya Ben Saanane ilikua online.
Ni vyema tukaelezwa je mods ndio wanayonywila ya I'd husika ama ni "watesi" wake ndio wanaitumia kwa sasa?
Wasiwasi ndio akili!!
Nimekubali ushauri wako, lakini bado naamini katika "doubt'' juu ya matumizi ya account hiyo.Ukitaka kujua last seen yake tumia web sio app
Hivi hii Leo Ben saane atishiwe uhai wake kisa anaandika propaganda humu JF na FB, je wakina lisu, heche na wengine wanaosema hadharani kwanini wasitishwe huu ni uongo wa kupikwa wa hali ya juuh kabisaa! Hivi hawa kama waliweza ku edit picha za mafuriko kipindi cha kampeni 2015 ili waonekane wana watu wengi watashindwaje kutengeneza mizengwe za vitisho ili ionekane wanatishwa Mimi siliamini ata kidogo hawa vijana yafaa kuwapuuza kabisaa
Ukiangalia last seen ya mtu yeyote kwa kutumia app utamuona yuko online kwa maana kuwa dakika na sekunde unayoangalia ndio last seen yake. Ukitaka last seen ya uhakika tumia web.Nimekubali ushauri wako, lakini bado naamini katika "doubt'' juu ya matumizi ya account hiyo.
Muda tajwa ni kweli kwamba ilionekana ikiwa online.
Mods wanajukumu la kufafanua ili kuelezea huo utofauti Kati ya app na web na sababu zake hadi ionyeshe kwamba ID iko hewani, na kwanini Leo baada ya uzi huu kua active?
Anyway!!Ukiangalia last seen ya mtu yeyote kwa kutumia app utamuona yuko online kwa maana kuwa dakika na sekunde unayoangalia ndio last seen yake. Ukitaka last seen ya uhakika tumia web.
Hilo ni suala ambalo mods wanapaswa kulifanyia kazi ili kuondoa sintosahau kama hizi.
AminaAnyway!!
Nashukuru kwa ufafanuzi.
Mungu aendelee kumtunza na kumuhifadhi mpendwa wetu huyu popote alipo.
Angalia vizuri mwisho ni 2016 November mwezi aliopotea"Doubt" zake ziko sahihi!
Mods wanapaswa kufafanua ili kutupunguzia shaka watumiaji wa jukwaa hili.
Kwani inaonekana Leo tarehe 29/10/2018 SAA 22:42:03 account hii ya Ben Saanane ilikua online.
Ni vyema tukaelezwa je mods ndio wanayonywila ya I'd husika ama ni "watesi" wake ndio wanaitumia kwa sasa?
Wasiwasi ndio akili!!
Ukitumia web utaona kuwa last seen yake ni Nov.16, 2016"Doubt" zake ziko sahihi!
Mods wanapaswa kufafanua ili kutupunguzia shaka watumiaji wa jukwaa hili.
Kwani inaonekana Leo tarehe 29/10/2018 SAA 22:42:03 account hii ya Ben Saanane ilikua online.
Ni vyema tukaelezwa je mods ndio wanayonywila ya I'd husika ama ni "watesi" wake ndio wanaitumia kwa sasa?
Wasiwasi ndio akili!!
Mkuu umekumbusha mbali sana ila huyu Gm ni mtu wa ajabu sn na nahisi mpango anaujua ndiyo maan alihamaki ila mungu mwema malipo hapahapaHivi mkuu hapo ulipo unajisikiaje na haya maneno yote uliyoandika,jifunze kuweka akiba ya maneno,sad!
Inatia simzi sana kwa mtu mwenye roho ya ubinadamu tu lkn maan unaweza kuona km igizo tu mungu baba tuokoeKuna chumba cha chatu kumbe!!
Bashite huyo atalizwa kilo kimoja kabla Hajafa tumbo lake limefanya mikono yake inuke damuHili ni mojawapo ya bandiko alolokuwa akimjibu Ben...