Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ni nani huyu mwenye haki ya kuhoji uwepo wa uhai wa MTU??? Daaah inasikitisha sana
Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata.Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu .You are too young to die. Tunajua utaandika na hili.Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha.Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia.Andika Ben.Andika sana ,ongea.Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"
 
Huyo jamaa huenda ndio wauaji wenyewe wa awamu hii, jitu katili sana hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mlio mpoteza ben,mnauchangulia uzi huuu kwa furahaaa.
 
Thus hauna BARAKA kila kitu kinafel sababu ya nyota ya kifo.
Wameua elimu check matokeo
Wameua export
Wameua demokrasia
Wameua uchumi
Wameua biashara
Wameua ajira
Wameua diplomasia
Wameua umoja wa kitaifa
Wameua uzalendo
Wameua Kilimo
Wameua mihimili
Wameua Upendo
Wameua Uhuru wa habari
Wameua biashara
Wameua hari na morali wa Watumishi
Wameua uvuvi
Ajae atapata tabu sana kuirejesha nchi kwenye mstari.
Ukweli na uwazi ni marufuku sehemu yako ni kuwekwa kwenye kiroba.
Watu wamekuwa wakiwa,Furaha yao ni kuona wengi wakiteseka,wakilia.
Utawala huu wa awamu ya 5 damu nyingi sana za raia wasio na hatia zimemwagika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni afadhali kumnunua MTU akae kimya kuliko kumuua MTU.Ukimuua MTU katu atokaa kimya hadi atakapolipa kisasi kwao na watoto wao na kizazi chao.Universe laws roho ya marehemu katu haitoondoka duniani ni hadi ilipe kisasi Kwa chain nzima thus ufanyika laana Kwa kila wafanyalo,Ben atawasumbua sana atawapigia kelele sana ukimuua MTU UFA mwili tu nafsi yake ingali nawe hata milele,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaliti hana sehem ndani yaa taifa hili. Don't waste your time tafuta huruma yaa jamii nakuweka namba zisizokuwepo kwenye mitandao. Hilo Ni taifa letu site na wasaliti hawana nafasi kuvuta pumzi hii nzuri Mungu aliwapa wa zalendo na sio wasaliti.
Narudia tena usipoteze muda wa watu kusoma mambo haya yasio na vina ukizingatii husemi ukweli kile unafanya gizani na kwa nini unayofanya gizani yasiwe giza la milele la maisha yako.....
Sema ukweli.....
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Uhai hutolewa na Mungu, ila kama binadamu ameamua kukatisha maisha Uhai wako kwasababu tu ya siasa, Mungu huyo na anayashuhuduia yote
 
Back
Top Bottom