Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Huwa narudia kusoma huu ujumbe Mara kwa Mara,ila Leo nimeusoma ni Kama mpya ...Moyo umeumia Sana,Sikupanga kwenda Kanisani leo ,Sasa ngoja niende sijachelewa...Haki Huinua Taifa!
 
KARMA
LOoo, jameni, mbona hii mada huwa inajitokeza hapa mara kwa mara, kama kumbukumbu ya kutonesha 'donda ndugu'?

Si bora ingewekwa iwe ya kudumu (zilizogandishwa kama hizo nyingine hapo kwenye ukurasa huu huu!)
 
HAKI YAKO UTAIPATA TU.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Inatia hasira sana namba imetumiwa kumtishia Ben ni 0768797982 ambapo rekodi zake zote zipo vodacom lakini Serikali imeshindwa kufatilia kabisa na kujua ni nani aliyetumia hiyo namba ya kumwambia kwamba atakuja kujikuta mbele ya chatu.

Hii inanikumbusha kutekwa kwa Dr Ulimboka ,Kubenea aliweka wazi kila kitu baada ya kufatilia namba zilizokuwa zinawasiliana na Dr ulimboka kabla ya kutekwa na ikajulikana aliyearrange utekaji ni Ramadhani Ighondu wa Ikulu lakini hakuna ufuatiliaji wowote uliofanyika zaidi ya kuwafukuza wafanyakazi wa tigo waliotoa data kwa kubenea ila mtekaji anadunda tu.

Mmemtia Uhanisi Dr Ulimboka kwasababu alikuwa anatetea wananchi,Damu zao ,machungu yao hakika mtakuja kuyalipa.
 
Mtu huyu mwenye rekodi ya mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983
Mkuu Tutashinda, kauli huumba, na lisemwalo lipo kama halipo, linakuja!.
Angalia heading ya bandiko lako hili, na tarehe ya bandiko hili, halafu angalia nini kilikuja kutokea kwa Ben Saanane.


Wana jf tuanze kujifunza kuchunga kauli zetu, kauli nyingine zinaumba, ukisema mwisho wa fulani, bila hata wewe kumaanisha ni mwisho kwa kutoweka, kwenye heading ulisema

"ben-saanane-mwisho-wake-umefika-rasmi",
Wewe bila kujua kuwa kauli hii ina powers, baada ya kutolewa bila kuwekewa any caveat ya mwisho wa nini, then powers zimeanza ku act kuutengeneza mwisho wa Ben.

Maadam kwenye bandiko hili, ulidhamiria mwisho wa Ben Saanane ni mwisho kwenye uchaguzi wa Bavicha, then the headline yako should have said so, " Ben Saanane Mwisho Wake Kugombea Bavicha Umefika Rasmi " ili zile powers za kauli yako iwe limited kwa Bavicha tuu, kitendo cha kutoa open ended statements bila kinga, ndicho kimepelekea kuchangia kufika mwisho kwa Ben Saanane.

Kwenye bandiko hili mimi pia nilichangia
Japo mimi nina chama na sio Chadema, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.

Thanks.
Pasco.
From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.
Happy Birthday Ben Saanane.
P
 
Nimesoma huu Uzi unahuzunisha sana sijui yuko wapi na huko Aliko sijui kama anaona kinachoendelea CDM huko Yale mapambano sijui kama yapo tena dah,
Zile hatua zote kwenda mbele sijui kama zipo tena watu wanaingia Tu na kutoka sintofahamu nyingi sana,
We miss you Ben
 
Hii namba ya voda sasa kapewa mrombo mwenzie Arikadi Kimario! tunataka tumjue mmiliki wa 2016!!!
 
Dah! Ukisoma hilo andiko unapata simanzi iliyopitiliza. Unaishia kusema malipo ni hapa hapa duniani. Waliofanya hivyo walivyofanya utafikiri wana hati ya kuishi milele na milele.
 
Back
Top Bottom