Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Kisasi ni cha Mwenyenzi Mungu. Hakuna litakalopita hivi hivi bila kulitolea hukumu ya haki.
 
Wazazi wake wameomba hata kujua ulipotupwa mwili wake lakini wanadanganywa uchunguzi unaendelea wakati si kweli. November mwaka huu itakuwa ni miaka minne tangu “APOTEE”
Ukipatikana mwili au mifupa wanahofu kutakuwa na mada kesi, maana muhusika ameshasema anatishiwa kuuwawa.
 
Huyu jamaa post # 44 kwenye uzi huu atakuwa ni mmoja wa wahusika wakuu kuhusu kupotea kwa huyu mwenzetu.
 
Wazazi wake wameomba hata kujua ulipotupwa mwili wake lakini wanadanganywa uchunguzi unaendelea wakati si kweli. November mwaka huu itakuwa ni miaka minne tangu “APOTEE”
Kubenea alisema yupo kwenye vijiwe cya kahawa amejificha kutafuta sifa
 
Kumuuwa Ben hakujazuia kutoka kwa Siri.Wala hakujawasilence wengine,you kill one rise ten, ukiwazuia kusema ndani watasemea nje,ukiwazuia wote kina kigogo wanaibuka.Yote nn kuukimbiza upepo Hakuna mwanadamu aliyewahi pambana na watu akaweza zaidi ya kuishia kuukimbiza upepo tu.
 
Back
Top Bottom