Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Kwa hili namtete mzee wangu huyu huwa anadondosha like za bure mpka tunashindwa kujua ameLIKE kweli au ni ile SEEN.Mkuu Machondela, kitendo cha kumuuliza mtu kwanini amelike post fulani, huko ni kuingilia the right to expression ya mtu.
Wale wanaonifuatilia post zangu, mimi nikianzisha thread, kila anayechangia thread yangu, anakula like yangu, na kila post ninayoisoma humu jf, naidondoshea like, mimi hata mtu akinitukana, anakula like!.
P