Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Masikini Bensaanane. Angekimbia nchi huenda angelikuwa hai leo
Upumbavu tu,

Kujifanya una gangamala,! Kugangamala bongo hii? Kwa faida ya nani?

Haya mlokuwa mnamshabikia ndio hao wengine wanakimbia mapambano na nyie wengine ndio hivyo hata kuandamana mmekataa!

Ujinga mtupu, hii ni Afrika
 
I soo much miss u Ben my brother. It hurts.
In that Christmas nilitangulia Rombo nikiwa na matumaini nitakuona but it never happened. I logged in to social medias finding updates that you are missing.
Hoping to meet you one day my brother whether dead or alive.
I love you.
 
We umefaidi nini Ben kuuliwa?
Sijafaidika chochote lakini kujifanya wewe ni mkubwa kuliko selikali ni utaahira hasa kwa Afrika hapa.

Alafu alichokuwa anapigania sasa ni uharo mtupu, eti anahoji phd ya mkulu?
Si uchizi huu? Hata kama aliipata kwa magumashi wewe ukihoji hata kwa kuvua nguo hadharani itasaidia nini na mtu keshakuwa rais? Ajiuzulu au?
Ujinga tu

Mbaya zaidi kakikuwa kamejaa matusi, dharau, kejeli. Yani mtu kakuzidi mamlaka na kila kitu alafu wewe mtoto mdogo unakuja kumnyea kichwani unategemea nini?

Huwa tunaonya kila siku vijana kuweni na mipaka mnapokosoa, siyo unazuzuka na vi likes unavyopewa kisha una vimba bichwa,.

Nafikri Mdude pia atakuwa kajifunza jambo
 
Kwa hiyo kuhoji phd ndiyo imstahili kifo? Au kuhoji hiyo phd kulitishia maisha ya rais? Hii inaonesha jinsi huyo aliyemuua alivyomjinga.
Hata aliyeandika hoja uliyoijibu ni mshamba tu. Huwezi fanya magumashi kisa usihojiwe kwa vile unamamlaka. Ndiyo maana watu huachia ngazi,ama kupokwa tuzo zao pale inapogundulika umefanya ujanja.

Shida ukishakuwa mwizi lazima utatetea wenzi wenzako.
 
Hata aliyeandika hoja uliyoijibu ni mshamba tu. Huwezi fanya magumashi kisa usihojiwe kwa vile unamamlaka. Ndiyo maana watu huachia ngazi,ama kupokwa tuzo zao pale inapogundulika umefanya ujanja.

Shida ukishakuwa mwizi lazima utatetea wenzi wenzako.
Ndio maana nikasema ni utahira kuanza kugombana na mtu mwenye mamlaka hasa kwa Afrika hapa.

Narudia ni utahira!
 
Kila nikiona hili bandiko naishiwa nguvu,naitafakari nchi yangu na sipati majibu!Nawaza kama ningepewa super powers na nikawajua wahusika,walah hakuna mtu angerudia kufanya unyama kama huu!
 
Ndio maana nikasema ni utahira kuanza kugombana na mtu mwenye mamlaka hasa kwa Afrika hapa.

Narudia ni utahira!
Wewe ndiye wale watu mnaowaambia mama zenu kwa nini hakukulala na mkubwa fulani ili uzaliwe kwenye familia yenye madaraka.
Kutungwa kwa mimba yako kwenye mkesha wa mwenge kulikuwa na nia ya kukufanya ujitathimini ili upigane kupata elimu bora na hatimaye upate maisha bora,kwa jasho lako,ili muendelezo wa ufukara katika familia na kizazi chako usiwepo.

Tatizo ni kwamba kwa sababu upo sebuleni mwa bwana wako unakula makombo unayotupiwa,akili yako imefungwa ukiamini kuwa kwa vile unakula makombo na kuridhika,basi kizazi chako kitaendelea kunufaika na hali hiyo ya kula makombo.
Jikomboe kutoka kwenye laana.
 
Back
Top Bottom