Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Upumbavu tu,Masikini Bensaanane. Angekimbia nchi huenda angelikuwa hai leo
Kujifanya una gangamala,! Kugangamala bongo hii? Kwa faida ya nani?
Haya mlokuwa mnamshabikia ndio hao wengine wanakimbia mapambano na nyie wengine ndio hivyo hata kuandamana mmekataa!
Ujinga mtupu, hii ni Afrika