Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaliti hana sehem ndani yaa taifa hili. Don't waste your time tafuta huruma yaa jamii nakuweka namba zisizokuwepo kwenye mitandao. Hilo Ni taifa letu site na wasaliti hawana nafasi kuvuta pumzi hii nzuri Mungu aliwapa wa zalendo na sio wasaliti.
Narudia tena usipoteze muda wa watu kusoma mambo haya yasio na vina ukizingatii husemi ukweli kile unafanya gizani na kwa nini unayofanya gizani yasiwe giza la milele la maisha yako.....
Sema ukweli.....
Kazi yenu mmekamilisha salama,kabla na nyie hamjamalizika, familia ipatiwe mabaki nao wayahifadhi.Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Nikweli?Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Watu wenye roho za namna hii ndiyo wamejazana huko kwenye vyombo vya dola. Tanzania kama nchi tumefika sehemu mbaya sana. Aina hii ya uzalendo kwangu kwangu HAPANA, ni tabia ya kishenzi sana.Mwili wa. Ben Saanane mliutupa wapi?
Watu wenye roho za namna hii ndiyo wamejazana huko kwenye vyombo vya dola. Tanzania kama nchi tumefika sehemu mbaya sana. Aina hii ya uzalendo kwangu kwangu HAPANA, ni tabia ya kishenzi sana.
Amin! AMIN!miss u sana Ben!!! Aliekuficha,kupoteza,nae yampate kabla ya umri wake kustaafu.
InaumizaFor the first time nimesoma uzi nikatokwa chozi hapa JamiiForums. 😭
Ben Saanane Mungu awe pamoja nawe popote ulipo.
Nami nililia sana one na kuapa kutomsamehe mhusika pamoja naye jiwe. Lakini nimewasamehe na msamaha nimeutoa katikati ya ibada kwa kigugumizi.For the first time nimesoma uzi nikatokwa chozi hapa JamiiForums. 😭
Ben Saanane Mungu awe pamoja nawe popote ulipo.
Daaaaah so sadSafari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.
Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu You are too young to die. Tunajua utaandika na hili. Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha. Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia. Andika Ben. Andika sana, ongea. Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"
He's such a coward. Muoga. Muaji anayejitangaza nae ana hofu tupu
Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.
Haya tunasonga mbele Watanzania. Kama ni Uchochezi sidhani kama upo uchochezi mkubwa zaidi ya huu.
As long as tupo hai, Sauti zetu hazitakoma. Tutaandika, Tutasema, Tutahutubia na tutafanya vitendo
Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai, watesaji, wakandamizaji wa hakiWatetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji, unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani.
Yesu Kristu aliishi miaka 33 tu duniania. Nina Mwaka Mmoja bado. He fought the right cause. Alikuja Duniani kimungu. Kila mtu anaishi kutokana na makusudi ya Mungu. Mwenyezi Mungu huruhusu kila jambo kwa makusudi yake. Sisi ni akina nani tukatae makusudi yake? Hatukujileta Duniani na hatutaishi milele.
Wasichojua watu hawa ni kuwa nilizaliwa na kubatizwa hatari siku hiyohiyo kama Mkatoliki. Ubatizo wa kifo(Hatari) 13 Desemba miaka hiyo, nikapona kwa fadhila zake Muumba. Nimepata fadhila sana Machoni pa Mwenyezi Mungu hadi muda huu. Wanajisumbua! Nimeishi beyond that favour
Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania. I love you more than words can wield the matter, dearer than eyesight, space and Liberty. Oh I love you Tanzania. My Pride, My fountain of inspiration."
Mlale salama marafiki zangu wapendwa.
Mapambano na Yaendelee, Ushindi U Dhahiiri (Aluta Continua, Victory Ascerta)
Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo. Hukukopa, Ulijiandaa kulipa gharama. Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.
Ben Saanane
hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe, kila kitu kitawekwa hadharani, time will tell.Ben nimekukumbuka bro and my mentor
wengi wamezamishwa baharini, ila Mungu yupo.Inatisha sana Mkuu. Hii tabia ya kuingiza makada wasio na sifa yoyote katika taasisi hizo imeleta balaa kubwa nchini la watu kuchukua uhai wa Watanzania wenzao kama vile wanaua panya. Hawana woga kabisa wala hawasikii vibaya.
Katika siku 100 ambazo wengine tulimpa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan toka aapishwe Machi 19, siku 75 (sawa na robo tatu) tayari zimekatika huku kitendawili cha kikosi cha wasiojulikana kikiwa bado hakijateguliwa.hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe, kila kitu kitawekwa hadharani, time will tell.
kuna siku ipo tu aliyefanya unyama huu atahukumiwa kama sio hapa duniani bali na Mungu. inaumiza sana.Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.
Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu You are too young to die. Tunajua utaandika na hili. Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha. Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia. Andika Ben. Andika sana, ongea. Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"
He's such a coward. Muoga. Muaji anayejitangaza nae ana hofu tupu
Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.
Haya tunasonga mbele Watanzania. Kama ni Uchochezi sidhani kama upo uchochezi mkubwa zaidi ya huu.
As long as tupo hai, Sauti zetu hazitakoma. Tutaandika, Tutasema, Tutahutubia na tutafanya vitendo
Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai, watesaji, wakandamizaji wa hakiWatetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji, unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani.
Yesu Kristu aliishi miaka 33 tu duniania. Nina Mwaka Mmoja bado. He fought the right cause. Alikuja Duniani kimungu. Kila mtu anaishi kutokana na makusudi ya Mungu. Mwenyezi Mungu huruhusu kila jambo kwa makusudi yake. Sisi ni akina nani tukatae makusudi yake? Hatukujileta Duniani na hatutaishi milele.
Wasichojua watu hawa ni kuwa nilizaliwa na kubatizwa hatari siku hiyohiyo kama Mkatoliki. Ubatizo wa kifo(Hatari) 13 Desemba miaka hiyo, nikapona kwa fadhila zake Muumba. Nimepata fadhila sana Machoni pa Mwenyezi Mungu hadi muda huu. Wanajisumbua! Nimeishi beyond that favour
Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania. I love you more than words can wield the matter, dearer than eyesight, space and Liberty. Oh I love you Tanzania. My Pride, My fountain of inspiration."
Mlale salama marafiki zangu wapendwa.
Mapambano na Yaendelee, Ushindi U Dhahiiri (Aluta Continua, Victory Ascerta)
Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo. Hukukopa, Ulijiandaa kulipa gharama. Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.
Ben Saanane
Kuhoji kuhusu PhD ya jiwe wakati ule ilikuwa kosa kubwa mno. Think again.Nina imani Ben yupo hai, sidhani alifanya kosa ama dhambi ya ajabu kutolewa uhai.