Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Umeandika gazeti refu but all of it is just rubbish.
For instance, huyo Mdude anapigania uhuru wa nini? Je, Tanzania hatupo huru?
Nonsense kabisa!! Tanzania tupo huru na maisha yetu yanaendelea halafu wewe unakuja hapa na kuwalinganisha akina Mandela na mjinga mjinga Mdude au Ben Saanane???
That is absurd! Those guys (Mdude and Ben Saanane) didn't know the course of what they are fighting for, they were mere puppets, manipulated by some stupid politicians for their own gain.
Ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha SGR kwa kijana kukubali kutumiwa na wanasiasa wahuni wenye uchu wa madaraka na tamaa. Kijana anapoteza maisha yake au anaharibu future yake kwa kuwa brainwashed akiamini anapigania "uhuru" wakati yeye mwenyewe amezaliwa katika nchi iliyo huru.
Ndugu, acheni kabisa kuharibu watoto wa wenzenu kwa manufaa yenu binafsi.
Wakati wa utawala wa HAYAWANI nani alikuwa huru? Labda puppets wake waliweza kupumua kiana kwa styles za kutanguliza unafiki na kujipendekeza. Mateso, mauaji na kupotea kwa raia vilivyokuwa vikifanywa yaani afadhali hata wakati wa utawala(ukoloni) wa Wazungu.
 
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko

Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.

Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu You are too young to die. Tunajua utaandika na hili. Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha. Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia. Andika Ben. Andika sana, ongea. Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"

He's such a coward. Muoga. Muaji anayejitangaza nae ana hofu tupu

Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.

Haya tunasonga mbele Watanzania. Kama ni Uchochezi sidhani kama upo uchochezi mkubwa zaidi ya huu.

As long as tupo hai, Sauti zetu hazitakoma. Tutaandika, Tutasema, Tutahutubia na tutafanya vitendo

Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai, watesaji, wakandamizaji wa hakiWatetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji, unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani.

Yesu Kristu aliishi miaka 33 tu duniania. Nina Mwaka Mmoja bado. He fought the right cause. Alikuja Duniani kimungu. Kila mtu anaishi kutokana na makusudi ya Mungu. Mwenyezi Mungu huruhusu kila jambo kwa makusudi yake. Sisi ni akina nani tukatae makusudi yake? Hatukujileta Duniani na hatutaishi milele.

Wasichojua watu hawa ni kuwa nilizaliwa na kubatizwa hatari siku hiyohiyo kama Mkatoliki. Ubatizo wa kifo(Hatari) 13 Desemba miaka hiyo, nikapona kwa fadhila zake Muumba. Nimepata fadhila sana Machoni pa Mwenyezi Mungu hadi muda huu. Wanajisumbua! Nimeishi beyond that favour

Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania. I love you more than words can wield the matter, dearer than eyesight, space and Liberty. Oh I love you Tanzania. My Pride, My fountain of inspiration."

Mlale salama marafiki zangu wapendwa.

Mapambano na Yaendelee, Ushindi U Dhahiiri (Aluta Continua, Victory Ascerta)

Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo. Hukukopa, Ulijiandaa kulipa gharama. Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.

Ben Saanane
Daah popote ulipo tunakupenda mpendwa,Tunakuombea urejee salama
 
Nijuavyo Wabobezi wa " Death Squads " na " Assassination " tena waliopikwa na kupikika huwa hawaandiki " upuuzi " kama huo tuliowekewa hapo kwani huifanya Kazi yao kwa uangalifu mkubwa ili kutoathiri Taasisi yoyote ile katika " mission " yao. Nimecheka sana na kugundua kuwa kuna Watu wanatafuta umaarufu wa ki " hovyo hovyo " wakidhani kuna Watanzania wa sasa ni wapuuzi kama walivyo wao.

Hivi hata akiulizwa tu Mtoto mdogo inaingia akilini kabisa Mtu au Kikundi fulani kiseme kabisa kuwa kitakushughulikia kwakuwa unaisema Serikali? Hebu tuacheni hizi " propaganda " za Kijinga Kijinga zinazolenga kuichafua Serikali na Taasisi zake.

Je na Mimi nikihisi kuwa yawezekana hili jambo limeratibiwa kiufundi kabisa kuwa itafutwe namba hata ya Mtu ambaye ni Marehemu kafariki tu ghafla kisha uandikwe ujumbe kama huo ili tu kutafuta " KIKI " kisha watimize lengo lao la kuendeleza propaganda zao nitakuwa nimekosea?

Nilikuwa siamini kama kuna Watu ambao huishi kwa kutafuta KIKI ila sasa kupitia hili la Ben Saanane nimeamini na binafsi sidhani kama kweli huo mpango upo kutokana na ufahamu wangu " kiduchu " wa hayo mambo kwa kuyasoma, kuyafuatilia na kuyasikia sehemu mbalimbali duniani naweza kudiriki kusema wazi wazi kuwa hii kitu imepangwa na nia fulani ovu dhidi ya Serikali na Taasisi zake na nitoe tu RAI kwa Police kuwa kama kweli wamefikishiwa kitu kama hiki wakifanyie uchunguzi wao wa Kitaalamu kabisa kwa mbinu na ujuzi wao na nina uhakika wanaweza wakawa wameletewa Malalamiko na Mhalifu mwenyewe.
Ujuaji mwingi mbele Giza.
 
Halafu we mshikaji nakufaham vile. Umepiga Telecom pale CoICT?
Dah chalii yangu mchizi wangu umenijuaje Aisee? Kama umenijua basi utawajua hawa pia Mwanaidi O'brien, Stella Shmidt, Tatu Cohen na Mwajuma McAllister wote tulikuwa nao telecom
 
Back
Top Bottom