Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Leo hii wauaji wa Ben Saa 8 wanatapatapa mitandaoni kuwa wanawindwa kuuwawa.
Sasa Makonda ameona jinsi wenzake alivyowawinda awatoe roho walivyokuwa kipindi kile akiwa na cheo cha mtoa roho mkuu wa Ikulu
 
Hivi ni kweli hawa jamaa walimuua Ben au bado wamemficha ?

Kama walimuua basi wamelaanika wao na vizazi vyao.

Yakobo 5:6​

6. Mmemhukumu na kumuua mtu asiye na hatia, naye hakuwapingeni!
 
Hao watakao kuuwa kwani wao hatokufa.
Tayari wameanza na lile jinamizi lililotokomea March 17 2021. Wauaji wengine wako wanahangaika kama kuku anayetaka kutaga!! By the way siku ya March 17 iadhimishwe kwa sherehe kubwa kuondokewa na shetani mnywa damu za watz!!
March 17 oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
"Ben Saanane unachokitafuta ndani .
Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu You ,Andika sana, ongea. Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"
Ben Saanane
CHATU


 
CHATU


Naona bado unadunda jf mkuu.
Hapa ni sawa na maji,
 
Kila nikisoma hili bandiko naamini, Ben angeweza kuwa hai kama tu angezingatia kanuni kuu ya maisha nayo ni USICHEZEE UHAI WAKO KWA VITU AMBAVYO UNAWEZA KUACHANA NAVYO.
bahati mbaya wanachadema wengi wapo hivyo, huwa wanaenda kichwakichwa tu bila kuforesee madhara wanayoweza kuyapata. ukiwa kwenye izo siasa unatakiwa kuwa mjanja sana ukicheza na upepo, ukifanya kijingajinga utapotea wakati ulikuwa na uwezo wa kuendelea kusavaivu ili ufanye siasa zaidi na zaidi. hekima na busara ni vitu vya mhimu sana maishani. hekiama na busara ndio vitakuongoza nini ufanye na nini usifanye na kwa wakati gani.sio unaenda tu kama gari isiyo na breki. yote katika yote, mimi sio mwanachadema wala mwanaccm, ila huyu kijana huwa naumia sana moyoni nikikumbuka kwamba amepotea na watoto wake hawajamuona hadi leo. sijui alipata mateso makali kiasi gani, hata sielewi. damu ni nzito kuliko maji na damu ya mtu huwa haiendi bure.
 
Back
Top Bottom