Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

bahati mbaya wanachadema wengi wapo hivyo, huwa wanaenda kichwakichwa tu bila kuforesee madhara wanayoweza kuyapata. ukiwa kwenye izo siasa unatakiwa kuwa mjanja sana ukicheza na upepo, ukifanya kijingajinga utapotea wakati ulikuwa na uwezo wa kuendelea kusavaivu ili ufanye siasa zaidi na zaidi. hekima na busara ni vitu vya mhimu sana maishani. hekiama na busara ndio vitakuongoza nini ufanye na nini usifanye na kwa wakati gani.sio unaenda tu kama gari isiyo na breki. yote katika yote, mimi sio mwanachadema wala mwanaccm, ila huyu kijana huwa naumia sana moyoni nikikumbuka kwamba amepotea na watoto wake hawajamuona hadi leo. sijui alipata mateso makali kiasi gani, hata sielewi. damu ni nzito kuliko maji na damu ya mtu huwa haiendi bure.
Mkuu hizi siasa za hatari zilikuwepo toka huko nyuma za watu kupotezwa.. Lakini awamu ya tano zilizidi..
Kwanini awamu ya 5 zilizidi..?
Tulipata kiongozi ambaye yeye alikuwa kila kitu ni yeye pekee na hakutaka mtu amkosoe...
Matokeo yake yoyote akitoa maoni hasa ambayo hapendi.. Ilikuwa hatari sana.. Watu waliwekwa kizuizini.. Nk..
Katiba Mpya ikibadilika na kuwa na kipengele cha Rais kubanwa akitoka madarakani... Basi mambo haya yatapungua kwa kiasi fulani..
 
Kikubwa alisimamia anachokiamini alisimamia katika haki hakutaka kuwa kama bendera kama anavyofanya zitto na wenzake ...yeye amekufa na jiwe nae amekufa ,maumivu waliyopata ndugu wa Ben ndio maumivu hayo hayo waliyopata familia ya magufuli.
 
Kama mtu unajua hatari iliyopo katika kukosoa ni bora uache ili kulinda uhai wako, UHAI hauna SPARE. Lazima kama mtu mwenye akili timamu ujue hakuna kitu muhimu kwako kama UHAI.
 
Kikubwa alisimamia anachokiamini alisimamia katika haki hakutaka kuwa kama bendera kama anavyofanya zitto na wenzake ...yeye amekufa na jiwe nae amekufa ,maumivu waliyopata ndugu wa Ben ndio maumivu hayo hayo waliyopata familia ya magufuli.
alifaidika nini sasa? ameacha watoto yatima, ameacha ndugu n.k, hata ukienda vitani kuna wakati unatakiwa kuretreat au kufanya chochote kumdanganya adui, huwezi kwenda kichwakichwa muda wote. you retreat ili ujipange au utafute mwanya wa kumshika adui masikio. na ndicho anachofanya sana mbowe, anaenda kwa akili sana ili safari yake iwe ndefu na afanikiwe kule anakoenda, angekuwa anaenda kichwa kichwa nakuambia hata asingekuwepo leo...hata wanachadema wenzie wangeshampoteza. hekima na busara ni ngao ya kila kitu.
 
Akili hizi ni za kipumbavu, Kwanini isiwe mtoto wa Mbowe awe yeye kiherehere??
 
Ila pamoja na yote usisahau kuwa ili mbegu iote lazima ife kwanza.
 
u
Mkuu hizi siasa za hatari zilikuwepo toka huko nyuma za watu kupotezwa.. Lakini awamu ya tano zilizidi..
Kwanini awamu ya 5 zilizidi..?
Tulipata kiongozi ambaye yeye alikuwa kila kitu ni yeye pekee na hakutaka mtu amkosoe...
Matokeo yake yoyote akitoa maoni hasa ambayo hapendi.. Ilikuwa hatari sana.. Watu waliwekwa kizuizini.. Nk..
Katiba Mpya ikibadilika na kuwa na kipengele cha Rais kubanwa akitoka madarakani... Basi mambo haya yatapungua kwa kiasi fulani..
unajiuliza kwamba hata katika awamu hiyo wapo waliosavaivu na wapo ambao hawakusafaivu? hata kwenye vita ya ukraine leo, kuna wanajeshi wameleta madhara makubwa sana kwa russia ila watasavaivu hawatakufa kwasababu wanapigana kwa akili.
 
Akili hizi ni za kipumbavu, Kwanini isiwe mtoto wa Mbowe awe yeye kiherehere??
Amethubuti kupinga maovu vitendo vya kikatili aliyokuwa anafanya jiwe, mwendo ameumaliza ...jiwe alipompeleka Ben na yeye ameenda uko uko.
R.I.P Ben wabaya wako wanakufata walipokupeleka
 
Kilichommaliza ni kujaribu kuonyesha kuwa Raisi wa nchi alifoji PHD, hebu jiulize ilikuwa inamsaidia nini!?.., tatizo ni kulewa sifa. Alijiona mwanaharakati kuliko watu wote matokeo yake akapotea. Hata leo hii ukianzisha ligi ya kuhoji vyeti vya mama Samia mitandaoni tena Kwa Jina halisi ukijaribu ku prove kuwa ni feki, Kuna kikosi maalum kitakupoteza tu pengine hata bila Raisi mwenyewe kujua. Tena huyu ana bahati alipewa na warning kabisa akaleta story za Aluta continua.. matokeo yake akasalimiana na chatu. Hapa duniani pambana ku survive achana na story za kufa kishujaa, kufa ni kufa tu. Ishi Kwa hekima,busara, akili nyingi huku ukimuomba Mwenyezi Mungu akuongoze.
 
Maisha ya duniani ni mafupi sana. Kufa kishujaa ni bora zaidi. Haya sasa aliyemuuwa nilidhani naye angeishi milele kumbe naye kamfuata aliko yawezekana yeye(ben) ndio kiranja wake huko tusijokujua.

Acha kuogopesha watu, maisha yangekuwa ni ya milele labda huo usemi wako kidogo ungefaa
 
Wewe tulia kama huwezi hayo, hii nchi mpaka leo unaishi wewe na kufurahia, wako waliokufa kuipigania, wewe kama huwezi unatulia tu uvute hewa.
mbona wewe bado unaishi? si ujimwage damu iwe mbegu kwa wenzio.
 
Amethubuti kupinga maovu vitendo vya kikatili aliyokuwa anafanya jiwe, mwendo ameumaliza ...jiwe alipompeleka Ben na yeye ameenda uko uko.
R.I.P Ben wabaya wako wanakufata walipokupeleka
hivi unaamini wanaccm wote ni waovu au ccm ni uovu? kwa taarifa yako alikuwa anapambania chama chake, wala sio taifa.
 
Back
Top Bottom