Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Nimeshukuru, na nimefurahi kwa usikivu wao na wameweza kutulizana wenyewe kwa wenyewe.

Wengine walishaanza kupiga gari nikasikia wengine wakiwatuliza "usipige gari" afadhali wamesikia na wameacha.

Maana kukosa kusikilizana na utulivu, ingefikia hatua ya kuanza kufanya uharibifu wa Chombo cha watu/Mali ya watu kitu ambacho Dereva hana makosa hata kidogo, wenye makosa ni mamlaka ya Nchi zao
 
Mnaomshabikia kagame ni wapumbavu na kagame ni mpumbavu maradufu iweje useme unalinda watu halafu uruhusu watu wako tena waingie kwenye nchi yenye korona si watatoa corona tz kuipeleka tena Rwanda na kuharibu kazi kubwa uliyokuwa umeifanya ya kudhibiti usambaaji wa corona nchini mwako? Angekuwa na akili angetengeneza utaratibu mzuri wa kupakua mizigo hapo mpakani.
 
Rwanda hawana shida kivile. wana option ya kutumia bandari ya Mombasa kupitia Uganda.

afterall ni route ambayo ni less risky vs COVID-19 because marais wa Kenya na Uganda wanajua wanachokifanya linapokuja suala la korona.
 
Tanzania leaders are not serious. They're the ones behind this stupid escalation. Wenzake walimpigia simu akawa anaongea pumba& nonesense. Wakaachana naye.
sasa unafikiri kwenye hili kila mtu akiamua kuwa kichaa nani ataumia???.

kagame ametoa maamuzi kama mtoto mdogo,ishu ilikuwa simple tu,kwamba bw ukifika pakua mzigo mpakani faulisha geuza gari.

sasa unaporuhusu wanyarwanda waje huku,huoni kama wanakuja kuichukua hito corona ambayo watz wachache wanasema kila raia anayo!!!!

nayinyi wazee wa bendera fuata upepo kila pambio mnaitikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda hawana shida kivile. wana option ya kutumia bandari ya Mombasa kupitia Uganda.

afterall ni route ambayo ni less risky vs COVID-19 because marais wa Kenya na Uganda wanajua wanachokifanya linapokuja suala la korona.
unadhani ni rahisi kama ulivyoandika hapa,jipe muda hata kupitia ramani uone mambo yalivyo,ukiachia mbali fukuto lake la chini chini na m7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaani watuwekee sisi visasi!! Sawa waweke tu hakuna tatizo kama raia wao huku ndio wengi zaidi.
Pamoja na hayo, naogopa Ndugu yangu.

Hawa watu wameshazoea mambo ya vita vita na vurugu, sisi tofauti sana.

Kwahiyo naogopa sana wao hawatokuwa na cha kupoteza hata kidogo
 
unadhani ni rahisi kama ulivyoandika hapa,jipe muda hata kupitia ramani uone mambo yalivyo,ukiachia mbali fukuto lake la chini chini na m7.

Sent using Jamii Forums mobile app
picha kubwa (sijui kama utaelewa though)..... katika ushindani wa kibiashara miongoni mwa nchi zenye bandari, ni Tanzania ndiyo inayozihitaji land-locked countries zaidi kuliko kinyume chake.
 
Mwaga ugali namwaga mboga,wote tusile halafu tuone itakuwaje...
 
Kule Kenya wao wamebuni utaratibu mzuri,,kabla dereva hajapakia mzigo lazima apime na atavuka mpaka kwa cheti Cha kuonyesha kishapima
Sisi hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu Tanzania haina corona.Hata hizo cases 480 ni kwa sababu ya vipimo fake na wahudumu hewa wa maabara but Tanzania ni nchi pekee duniani ambaya sauti ya rais wake imemuogopesha COVID-19 hadi amerudi alikotoka
 
Kumkoma Nyani Geladi

Sawa kabisa wana

Na walipisheni Road toll ya $16 kwa kila km100 hao. (Kwa Mujubu wa Foreign Vehicles Act)



 
Hivi hawa madereva wanatoa wapi hii corona??
Ni dhahiri huu ugonjwa ushasambaa sana na sisi tumeshindwa na tumeridhika na hali yetu.
Ona sasa aibu...nchi jirani zinatuvua nguo dah
Ata ukimwi awa madereva malori ndo waenezaji mnoo na wanapenda sembuje sijawai ona
 
Pamoja na hayo, naogopa Ndugu yangu.

Hawa watu wameshazoea mambo ya vita vita na vurugu, sisi tofauti sana.

Kwahiyo naogopa sana wao hawatokuwa na cha kupoteza hata kidogo
Mkuu wanakosa heshima kabisa, hawana shukurani hawa watu, yaan sisi kuwabeba kote bado wanatuona wajinga tu wamepigana sana huko kwao sisi tuliwapokea na kuwapa hifadhi mpaka leo wengine hawajarudi kwao, mkoa wa kagera wamejaa kibao lakini bado tu hawataki kutuheshimu kwanini?
Walianzishe tu kama wana jeuri hiyo.

We mtu kazi ya kugombana na majilani wote
DRC, Uganda na Burundi bado tena wanataka kutuchokonoa na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…