Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

Huyu mbobezi kwa mikwara ya kijinga amefuzu, si bora angekaa kimya tu!
 
Upinzani Tanzania hauna akili timamu, si Lissu wala zezeta Zitto wanajitambua. Wote ni mazwazwa tu. Kwa kweli wametuangusha mno.
 
Upinzani Tanzania hauna akili timamu, si Lissu wala zezeta Zitto wanajitambua.....wote ni mazwazwa tu. Kwa kweli wametuangusha mno.
Wacha kujikomba kwetu mbuzi wewe.. Ni vile hujui hasira tulionayo tuu kwa kutuulia na kudhalilisha ndugu zetu


WACHA KUJIKOMBA KWETU ENTAREHAMWE WEWE
 
Huyo kachero hakuwa na impact yoyote kwa uchaguzi wa 2020, Ila NARUDIA Ila, VIBARAKA WAZOEFU wa CHAVICHAVI MKALI (CCM) ambao ni MAALIM na KABWE hawa ndo walikua vigingi.

Kachero ni kweli atarudi zake chavichavimkali na maisha yataendelea. Ila ccm walipomfukuza walitegemea ya 2015 apokelewe CDM na kupewa dhamana Kama ilivyokuwa kwa NGOYAI edo.

Jiwe kwa namna moja ama nyingine alishindwa kidemokrasia, Ila kimabavu ameweza na ndio haya tunayoyaona[emoji41].

Ahsante, Luteni mstaafu.
 
Mi nilimsoma siku nyingi kachero km kule kaenda kuwapiga bao la tiktaka then anarudi kijiweni kutulia,eti karudisha kadi thubutuu,mbobezi bana😅😅😅
Mungu anamuona
Mnampa Membe sifa hata asiyostahili.
 
Sidhani hapa kama kuna ukachero wowore wa Membe kama unavyodai
Ushindi umetokana na nguvu ya mgombea wa CCM na sinvinginevyo,, hata kuna makandokando mengi ya kiuchaguzi ila tukubali tukatae JPM was a stronger candidate kama alivyokuwa TL na ana deserve ushindi alioupata
 
Kwamba membe kashiriki kuratibu na kufanikisha wizi wa kura?
 
Hakuna aliyeshinda wala hakuna aliyeshindwa, ushindi ni wetu sote... uchaguzi umeisha tuchape kazi kujenga nchi yetu.
 
Back
Top Bottom