Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Nyomi iliwazuzuwa watu na kuamini ndio alama ya ushindi,cha ajabu nyomi haijatokea kwenye kupiga kura usikute hata humu walalamikaji wengi hawakwenda kupiga kura.
Sasa mtu akija kulalamika figisu za ccm anakuwa amekosa hoja kwa sababu hayo yanajulikana katika chaguzi zote kuwa hayo mambo lazima yawepo ila watu wakajiaminisha kuwa kwa ile nyomi hata hizo figisu zao hazitasaidia,sasa hapa wa kulaumiwa ni nyomi kutokutokea kwenye upigaji wa kura kama walivyotokea kwenye kampeni.