Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

Nyomi iliwazuzuwa watu na kuamini ndio alama ya ushindi,cha ajabu nyomi haijatokea kwenye kupiga kura usikute hata humu walalamikaji wengi hawakwenda kupiga kura.

Sasa mtu akija kulalamika figisu za ccm anakuwa amekosa hoja kwa sababu hayo yanajulikana katika chaguzi zote kuwa hayo mambo lazima yawepo ila watu wakajiaminisha kuwa kwa ile nyomi hata hizo figisu zao hazitasaidia,sasa hapa wa kulaumiwa ni nyomi kutokutokea kwenye upigaji wa kura kama walivyotokea kwenye kampeni.
 
Ninacho kuuliza, kama ni dhuluma, kwanini mtaani kimetulia sana?. Kwenye kata yetu ameshinda diwani wa cdm lakini hakuna mtu anauliza matokeo ya urais kwa Lissu.
 
Ninacho kuuliza, kama ni dhuluma, kwanini mtaani kimetulia sana?. Kwenye kata yetu ameshinda diwani wa cdm lakini hakuna mtu anauliza matokeo ya urais kwa lissu.
Tushafika kukiwasha.
keyboard_warrior_5548.jpg
 
Wewe ndiyo unadhihirisha watu weusi hawana akili. What you wrote has got no logic, not even metaphors
 
Mkuu nimejitahid kukuelewa lakini naona sikuelewi kama tumeccm
 
Very stupid analysis. Membe hakuwa na impact yoyote na hana impact yoyote. Hakuna ambacho amechangia. Membe hana mvuto na membe asingeweza hata kuivuruga DP acha ACT. Membe ni debe tupu. Mnajaribu sana kumkuza But Membe is nothing.
 
Watu wameona isiwe tabu, mtu umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
Mkuu hili watu walidharau ila lilikuwa na madhara,

Kuna ambao walikua wanauliza kabisa,

Ataweza kazi huyu mbona anaonekana Mgonjwa??
 
Mkuu hili watu walidharau ila lilikuwa na madhara,

Kuna ambao walikua wanauliza kabisa,

Ataweza kazi huyu mbona anaonekana Mgonjwa??
Alitegemea ashinde kwa kupewa kura za huruma kwamba huyu alipigwa risasi
 
To be honest with you, the presidential outcome were obvious. But constituency outcome for some key members of opposition parties is puzzling.
 
Wajinga nyie tulieni dawa iwaingie, mlidhani hizo multiple accounts zenu humu ndo zingepiga kura? mnajitekenya na kucheka wenyewe si tunawachora tu, the majority tumeamua, ingieni road na huko tuje tuwanyooshe.

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Mtu mwenyewe unatumia itel afu unasema mtunyooshe[emoji119][emoji119][emoji119] kweli umaskin wa akili n tatizo kuliko wa mfuko
 
Back
Top Bottom