Benard Membe kuwa Kachero mbobezi ni ishara ya udhaifu mkubwa idara ya usalama wa Taifa

Yupi mbobezi ambae unamfahamu wewe ambae si "kilaza" kama ulivyotumia neno hilo, ni kawaida binadamu kuonana wa kawaida hata huku kwetu mbagala atajitokeza mtu kusema mo Ana utajili gani au bilionea gani anakesha mitandaoni ndivyo ilivyo hata mkeo ukimzoea utamuona wa kawaida si ajabu kwakuwa si taaluma yako na wala hujafanya utafiti wowote kumuhusu
 
Masalia ya Mwendazake mnahangaika usiku kucha kuchafua watu.Mbona hujiulizi kwa nini Tanzania hakujawahi kuwa na vita vya kikabila au kikanda(Civil wars).Hayati Magufuri alitaka kuleta hayo machafuko lakini akakutana kisiki Kachero Mbobezi Membe ambaye alikuwa na uchungu na Tanzania na raia wake mpaka Magufuri kafa kwa presha.Mnapenda sana vita lakini hamtafanikiwa hata siku moja Tanzania itaendelea kuwa salama kwani Kachero Mbobezi Kamilius Membe ameacha mizizi iliyokomaa.
 
Nchi hii tuombe viongozi walete elimu itakayo Saidi vizazi vijavyo kujua kipi kina faidi kwa nchi na kipi hakina faidi kwa nchi.
Mfano mtoa maada hii maada yako Ina faidi gani kwa taifa hili?
 
Nchi hii tuombe viongozi walete elimu itakayo Saidi vizazi vijavyo kujua kipi kina faidi kwa nchi na kipi hakina faidi kwa nchi.
Mfano mtoa maada hii maada yako Ina faidi gani kwa taifa hili?
Mtoa mada ni mmojawapo wa watu wasiojulikana,ndiyo maana walimshambulia risasi Lisu kutokana na chuki zisizo na faida.
 
Musiba
 
Wewe utakuwa ndondocha la Mwendazake. Ni walewale kina Msiba gang.

Hujui different facets za ukachero wewe.
 
Ninyi vijana mna matatizo makubwa.
Mnahadithia aya mambo kutokana na uelewa finyu wa stori za ujasusi kwenye novels.
Ujasusi au Intelligence kitu ingine kabisa.

Mimi si mnazi wa Membe, aliyepewa caption na vyombo vya habari, eti "kachero mbobezi"!
Mtu atakuwaje kachero mbobezi kwanza yuko public.
Pili, hawezi kwenda any serious operations za kijasusi kwa vile hana cover, anajulikana.
Tatu yumo kwenye siasa, hivyo hata kumwita kachero mbombezi haileti maana yoyote.

Pengine Membe made the mistake kuikubali hiyo caption ya kuwa kachero mbobezi, kumpa invincibility ambayo hana.

Lakini pamoja na hayo tutakuwa tunamwonea sana Membe kuwa ndiye alianzisha utengano na makundi ndani ya CCM na Taifa.
Hilo mimi napinga na ni kumwonea, he was just a player like the rest.
Tuwe wakweli kwa nafsi zetu, mtandao wa 2005 ulitengeneza deep divisions ndani ya CCM.
Tusisahau kuwa Membe alikuwa part ya mtandao by afilition , na alibaki kuwa hivyo.

Enter Magufuli.
Huyu bwana isingekuwa ile phobia yake ya kutaka kuwa an absolute power,uuaji wa wanaompinga na generally kutoambilika , kulimtengenezea maadui both real na imagined.
Mwalimu aliitengeneza Idara ambayo si tu ilikuwa proffessional, lakini ilikuwa na uzalendo usio na mashaka.
Ni katika Awamu ya Tano mambo yameharibika, sijui ndani ya Idara kuna idara nyingine ngapi.

Sasa Magufuli made his greatest error in judgement, kufikiri anaweza ku exterminate kundi la mtandao!
Kwa kutumia idara zilizo loyal kwake tu.
The rest is history.

Membe mlaumuni kwa tabia zake tu, ambazo ni nzuri, lakini si kwa kuwa ati kachero mbobezi, because he was not.
 
Ujinga wa kihalaiki unalisumbia taifa. Ungetaja kwanza walau hata GPA yako tuilingqnishe na membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…