Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Ile sio idara ya usalama wa Taifa, ni kikundi cha wahuni wa kuiba kura na utekaji tuu, watu wenye akili hawawezi kufanya kazi ile idara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu unalala na kuamka Salama ni haki yako kujamba mashuzi, hujui kuna watu hawalali kuhakikisha nchi iko Salama.Ile sio idara ya usalama wa Taifa, ni kikundi cha wahuni wa kuiba kura na utekaji tuu, watu wenye akili hawawezi kufanya kazi ile idara
Bora mtoto wa mjomba anaweza kuwa karithi akili za mjomba wake. Lakini hili la green guard sijui nisemeje. Mtajuta mtakaokuepo1980 ulikua uhauko Duniani Membe alikua ikulu akichakata taarifa za intelligence ya nchi
Mpuuzi wewe
Kawadanganye wajinga wenzakoKwa sababu unalala na kuamka Salama ni haki yako kujamba mashuzi, hujui kuna watu hawalali kuhakikisha nchi iko Salama.
Tatizo vijana mna tabia ya kudharau vya kwenu mnazani ujasusi ni mpaka uwe mzungu au ule wa kwenye movie za Arnold SchwarzeneggerEti jasusi mbobezi alafu akaenda kuishia kufugwa na zitto ACT
Tatizo la vitoto vya jana kudharau wasiyoyajuaInashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao ,
Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa Kachero Mbobezi , sitaki kupinga kuhusu hii sifa na yawezekana kweli alikuwa na sifa hyo , Ila nipende kusema huyu jamaa alikuwa mtu wa hovyo sana na idara ya usalama isirudie kufanya recruitment Kwa watu wa namna hii ... Moja ya makachero wabobezi wasiojielewa kabisa
Katika nchi zote zinazojitambua kachero Mbobezi sku zote huwa ni master of the game ... Huwa anahusishwa kwenye mission ngumu za kitaifa , na haitakiwi yeye kugundulika achilia mbali kuhisiwa ,
Tukija kwetu kama makachero ndo Aina ya Membe tusitegemee lolote la maana , na hii nchi inaenda tuu Kwa kudra za mwenyezi Mungu ....
Kachero gani fisadi , mroho wa madaraka na mchochezi wa wazi wazi , na mwenye kuibua chuki ndani ya Taifa na kuichochea pia , msuguano wake na Maghufuli ulionyesha jinsi jamaa alivyo hopeless kabisa yaani zero unit , inasemekana alihusika kwenye Ile mission ... Mazingira yote yalijionyesha vile, inashangaza yeye na genge lake kuhusika waz waz hii ni too dangerous mno na gharama yake itajilipa mda si mrefu ...
Kitendo cha watu kushangilia kifo chake ni alarm alert kubwa kuwa watu wengi wanaelewa mission alizokuwa anafanya , kujitangaza wazi wazi namna alivyomchukia Maghufuli , kauli zake Tata akiwa na Nape kule kwao , Raisi kumrudisha ikulu , kung'ang'ana na kesi ya msiba haya yote yalionyesha namna mtu wa hovyo alivyopewa kazi nyeti .....
Kuna mdau humu alidokeza
Je, Membe kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wakati yeye ni jasusi?
Although alidokeza kilichotokea, na nawapongeza Kwa hlo lakini naona limefanyika too late wakat ambao tayar idara imekuwa damaged na imemeguka makundi makundi ......
Chonde Chonde idara nyeti kama hii isijihusishe na masuala ya kisiasa , watu wa namna hii wasiruhusiwe hata kusogeza pua , tutakuja kulana nyama hv hv .....
Mkewe upo huku ila msahaulifu sana. Uzi mwingine ulisema mwaka 1984 huu unaasma 1980. Humu JF utaumia sana. Ungejihusisha tu na msiba kwa sasa. Musiba i mean.1980 ulikua uhauko Duniani Membe alikua ikulu akichakata taarifa za intelligence ya nchi
Mpuuzi wewe
That was too funny,Musiba Naomba Pesa zangu.. Hatosimama tena[emoji23]
Hakika, hao watu wanafanya kazi kubwa sana, usiku na mchana.Kwa sababu unalala na kuamka Salama ni haki yako kujamba mashuzi, hujui kuna watu hawalali kuhakikisha nchi iko Salama.
Hawa wapumbavu wa sukuma Gang wanafikiri kujaza nyuzi za kumponda Membe zitasaidia kumpunguzia mateso Magufuli wao huko jehanam.Misukule ya chato ipo kazini.
...nimependa kauli Yako mkuu,"Nchi hii inakwenda Kwa kudra za mwenyezi MUNGU"...Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao ,