Benard Membe kuwa Kachero mbobezi ni ishara ya udhaifu mkubwa idara ya usalama wa Taifa

Naongelea viongozi wa juu wa Usalama wa Taifa ambao vyeo vyao wala sio siri kwani huteuliiwa na Raisi ni lini ulishawasikia wakisema kwa midomo yao kuwa Membe ni kachero mkubwa mbobezi?
Kuna umuhimu gani wao kusema hadharani? Wanaambiana wenyewe kwa wenyewe.
 
88% 👍👍
 
Ujinga wa kihalaiki unalisumbia taifa. Ungetaja kwanza walau hata GPA yako tuilingqnishe na membe
GPA yangu haiingilian we mende , tuna viongozi wangap vipanga wa darasani Ila kwenye uongozi ni zero ..... Usajiri wa Member ulikuwa wrong move , uzuri hata wao wamelijua japo Kwa kuchelewa
 
Mmmh wew ni maziwa mgando kbs hujui chochote
 
GPA yangu haiingilian we mende , tuna viongozi wangap vipanga wa darasani Ila kwenye uongozi ni zero ..... Usajiri wa Member ulikuwa wrong move , uzuri hata wao wamelijua japo Kwa kuchelewa
Una GPA ya ngapi membe alikuwa na 4.1 tena ya UDSM tena PS & PA siyo mwalimu Nyerere kivukoni. wewe una ngapi mbona simple
 
Watu gani wameshangilia kifo Cha Membe . Kwa ubaya upi alioufanya?. Mnatunga mambo halafu mnajifanya kushabikia ujinga.
 
Eti jasusi mbobezi alafu akaenda kuishia kufugwa na zitto ACT
 
GPA yangu haiingilian we mende , tuna viongozi wangap vipanga wa darasani Ila kwenye uongozi ni zero ..... Usajiri wa Member ulikuwa wrong move , uzuri hata wao wamelijua japo Kwa kuchelewa
Wewe endelea kubwabwaja. Unajiona una akili Sana kuliko waliomteua?. Wewe endelea tu.
 
Kuna ki9ngozi mmoja alimtambulisha Membe kama mwana mikakati mahiri wakati muda wote alifeli kuanzia siasa za ubunge mpaka urais alioutamani uje kwa ndoto za alinacha
 
Maneno mengiiii.... contents haba....[emoji1787][emoji1787]

DUNIANI kote mabobezi hao wapo....na WENGINE wanajulikana....kwanini iwe ajabu kwa hayati Membe?!!!!

Unataka kujifunza mambo kwa kutanguliza kwanza "mbango" ?!!!!!

Hebu kuwa mfuatiliaji wa mambo basi [emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye enzi Mungu amrehemu na kumpunguzia adhabu na amlaze mahali pema peponi. Huyu mwamba alikua mtumishi wa haki, alisimamia ukweli na kuukataa ujinga kwa gharama kubwa sana.

Ametufunza mengi kwa muda mfupi ikiwa ni pamoja na kujiheshimisha kupitia mahakama na kutoa adhabu kali kwa vikaragosi vilivyokua vinatumika kwenye utawala dhalimu.

Membe mmoja ni sawa sawa na ma-professor wa jalalani 100, tuendelee kumuenzi mtumishi huyu mwenye uweledi. Hakika, bwana amempenda zaidi. Apumzike kwa amani
 
Sijawahi kuwa mfuasi wa huyu jamaa hata siku moja
 
Bongo hata vichaa wa mtaani ni usalama nini Cha ajabu?
 
Usalama wa taifa Duuh afrika panavituko labda alitumwa akavuruge ACT
 
Sasa inakuwaje Diwani Athumani na Kipilimba, Othman Rashid, Apson Mwang'onda wanajurikana?

Ukiweza kujibu swali hili ndio utajuwa misukule ya Chato yote haina akili.

Nilitegemea mumshangae mungu wenu wa Chato baada ya kumuexpose undercover Profesa Osoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…