Benard Membe kuwa Kachero mbobezi ni ishara ya udhaifu mkubwa idara ya usalama wa Taifa

Ile sio idara ya usalama wa Taifa, ni kikundi cha wahuni wa kuiba kura na utekaji tuu, watu wenye akili hawawezi kufanya kazi ile idara
 
Ile sio idara ya usalama wa Taifa, ni kikundi cha wahuni wa kuiba kura na utekaji tuu, watu wenye akili hawawezi kufanya kazi ile idara
Kwa sababu unalala na kuamka Salama ni haki yako kujamba mashuzi, hujui kuna watu hawalali kuhakikisha nchi iko Salama.
 
Hivi tumekumbwa na nini?? Au ndo ishara kwamba ccm kwa sasa haina dira wala muelekeo?? Mbona wafu wanajadiliwa sana kuliko wazima??
Ni woga? Ujinga? Ama strategy ya kuwapumbaza laymen??
Maujinga mengi ni ya Katiba. Mkiambiwa badilisheni mnabaki kuwashambulia marehemu!!
#Shame
 
1980 ulikua uhauko Duniani Membe alikua ikulu akichakata taarifa za intelligence ya nchi
Mpuuzi wewe
Bora mtoto wa mjomba anaweza kuwa karithi akili za mjomba wake. Lakini hili la green guard sijui nisemeje. Mtajuta mtakaokuepo
 
Eti jasusi mbobezi alafu akaenda kuishia kufugwa na zitto ACT
Tatizo vijana mna tabia ya kudharau vya kwenu mnazani ujasusi ni mpaka uwe mzungu au ule wa kwenye movie za Arnold Schwarzenegger

Membe unaemchukulia poa ni moja kati ya ma cenior wa usalama tokea miaka ya 1980 ndani ya ikulu , kwa akili ya kawaida tu unazani kafanya na kusimamia operation ngapi ?

Jufunze kutoa wivu na chuki

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la vitoto vya jana kudharau wasiyoyajua
Vitoto vina-deal sana na nadharia za vitabu vya mizungi kuliko uhakisia.
Kama uliambiwa ni kachero mbobezi wewe unaumia nini? Kwanza ulikuweko wakati wa ujana wake akiupata mkanda mweusi?
Uwe na adabu KITOTO wewe ama nenda Chattle ukatambike.
 
1980 ulikua uhauko Duniani Membe alikua ikulu akichakata taarifa za intelligence ya nchi
Mpuuzi wewe
Mkewe upo huku ila msahaulifu sana. Uzi mwingine ulisema mwaka 1984 huu unaasma 1980. Humu JF utaumia sana. Ungejihusisha tu na msiba kwa sasa. Musiba i mean.
 
...nimependa kauli Yako mkuu,"Nchi hii inakwenda Kwa kudra za mwenyezi MUNGU"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…