Aiseeππkuolewa kwa mahari kubwa ni mpaka bikra iwepo. je anayo ?π na umri ndio huo unakaribia 60
mtu uliyenitengaπ,unachofanya ni kile Ally kiba aliimba "maji ya mapenzi aliyoonesha yalifuata mkondo yakaenda"Aiseeππ
Mtu anaweza kutenga moyo wake jamaniimtu uliyenitengaπ,unachofanya ni kile Ally kiba aliimba "maji ya mapenzi aliyoonesha yalifuata mkondo yakaenda"
Sukuma Gang tulia mnyooshweHuyu nae ni mzee wa hovyo tuu...
A hell of a hypocrite. Miaka yote ya Magu akiwa Rais hakumuunga mkono, leo hii anajipendekeza kwa Mama.
Mpuuzi. Mnafiki.. Mhaini.
Na kama Mama eti atamuunga huyu... Atafeli vibaya mnoo.
Be Warned.
Mkuu, " maneno hiyooo.....!"Anasema hasimami tena.
πni ngumu babe,haya tuhamie PMMtu anaweza kutenga moyo wake jamanii
Kama alimini kulikuwa na ukweli kwenye zile tuhuma zake, alitakiwa akathibitishe mahakamani ili ashinde kesi yake.Ina maana yote aliyosema Musiba hakuna hata la ukweli?
Wamezoe hko lumumbaMdharirishaji mwingine ni "power kaaya"!
Kijana miaka 31 unamtongoza Mama mwenye miaka 60, huu ni udhalilishaji wa kijinsia!!
Nasubiri kusikia kutoka kwa Rais mwenye ngonjera ya jinsia ya kike atasemaje kuhusu Power kaaya!!
HahaaaKuna tetesi kwamba Bashite kaikimbia nchi ni kweli?
View attachment 1989644
Ameweka maneno.....Mkuu, " maneno hiyooo.....!"
Yetu. Macho mkuu, duh!
Anakata rufaa ili ku buy timeHaya sasa, mwanaharakati huru unalo, naambiwa hapa kwamba unaweza kufirisiwa na au hata kufungwa ili ukafanye kazi za kijamii kufidia deni la wenyewe endapo utashindwa kulipa kwa wakati... kama ni ngoma kaka sasa hii yako ni Loketo !!
Hii loudspeaker ya jiwe haikujua kwamba methali za wahenga zinaishiAmeweka maneno.....
Chama kina wenyewe.
Apitishe bakuli kwa ndugu zake πππKwenye ule msiba Musiba alilia kwa uchungu akijua kabisa kinachoenda kutokea.
Ila hizo pesa mbona nyingi mpaka zinapoteza uhalisia?...huyo bwana akidaiwa milioni hamsini tu zinatosha kumpa adabu.
Ana changamoto kubwa sana.Hii loudspeaker ya jiwe haikujua kwamba methali za wahenga zinaishi