Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

'
JamiiForums-2131344226.jpg
 
Kwani matusi aliyokuwa anayatoa Musiba kwa wana CCM wenzie wakati wa uhai wa hayati mwenyekiti wao yalikuwa na afya kwa chama chao? Musiba lazima ashikishwe adabu liwe fundisho kwa wengaine.
Jinsi CCM wanavyolazimisha kuwa na Rais na mwenyekiti wa chama mwenye madaraka yote - juu ya katiba na sheria, wajue kuwa wanapanda mbegu ya uharibifu ndani ya chama na nchi.

Seeds of discord and self-destruction. Alichosema Lissu ndicho kitazidi kutokea. Unatengeneza zimwi linaloishia kukumeza wewe mwenyewe.
 
Mzee Membe kumbuka pia kwamba deni kalifungi.
Hii inaonesha jinsigani tunawatu wajinga na wasio na maadili!!
Hiyo hukumu ni aibu kubwa hatakama hafungwi na fedha hatolipa... kwanza hana!!
Nchi nyingine magazeti yangesusiwa na angefunga ofisi keshoyake.
Hukumu Inaonesha msiba mtu mzima mwenye kumiliki kagazeti uchwara ni anatumika vibaya pia ni muongo,mzushi,mzandiki,mnafiki,kiherehere,juha,hanaadabu,kalubandika,mwanaharamu,bladifakenyi na ataishia kuwa mchawi!!
Anyang'anywe watoto kama anao maana atawalisha maadili potofu mmmno
 
“Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu ni jibu kwamba ukidhalilishwa fika Mahakamani uitafute haki yako nimefika hapa kwa niaba ya watanzania wote na Viongozi Wastaafu walionyanyaswa na kudhalilishwa na Mtu huyu"

"Naomba wajue hili halitotokea tena, hasimami tena kudhalilisha Wazee na Viongozi wake, hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu, hasimami tena kuwatukana Watu walioifanyia kazi Nchi hii kwa uaminifu na uadilifu wote, anasimama Mtu kwa kutumwa na kulipwa akadhani kwamba ataendelea kuishi Duniani katika hali hiyo hamtomuona tena akifanya hivyo na Musiba huko uliko naomba hela zangu"

Bernard Membe

Pia, soma=> Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe
Hukumu ya kupanga kabla ya kusomwa hadharani leo 28/10/2021 ambayo aliidokeza wakati alipohudhuria kwenye mkutano wa waziri mkuu huko Lindi, kwamba baada ya hukumu ya kesi yake dhidi ya Musiba atarejea CCM.

Hapa inathibitisha kwamba ni kweli kulikuwa na ajenda za siri zenye nia OVU
 
Hizi hukumu za mfululizo zinazomkabili Cyprian Musiba kutoka kwa wanaccm wenzake hazina afya kwa chama.

Enzi za Mwalimu Nyerere huyu Musiba na Membe au na Fatma wangeitwa mbele ya vikao vya maadili vya chama na kusikilizwa na Uamuzi au Suluhu kupatikana

Ni aibu kubwa kuthibitishiwa na mahakama kuwa CCM ina watu wahuni wahuni wasioheshimu wazee wetu.

Kumtukana Membe au Kinana ndani ya chama ni ushenzi uliopitiliza.

Na nyie vijana mliobaki mjifunze kuheshimu waliowatangulia.

Maendeleo hayana vyama!
CCM is dead, it is now occupied by the gluttonous crooks who were starved during the fifth phase regime whose unexpected return after the former head of state demise geared up the crazy revenge among themselves. The current CCM party and its government instruments can't subscribe for the ordinary citizens interests at all....therefore deprivation laments shall flourish beyond gnash to the extent some may lose perseverance and desperately fall prey to espionage against their beloved country. God forbid!!

The barking foxes are very angry storming in each room in search for the remnants of the past regime projected to flushing them out of the vessel to assure accessibility to the resources squandering for personal gain.

*Tanzania will only maintain its past commendable status if and only if a new regime with different participatory ideology without vengeance come to power especially the opposition parties not related to CDM, ACT, NCCR or CUF can make the good haven to the heartbroken civilians.
 
CCM is dead, it is now occupied by the gluttonous crooks who were starved during the fifth phase regime whose unexpected return after the former head of state demise. The current CCM party and its government instruments can't subscribe for the ordinary citizens interests at all....therefore deprivation laments shall flourish beyond gnash to the extent some may lose perseverance and desperately fall prey to espionage against their beloved country. God forbid!!

The barking foxes are very angry storming in each room each for the remnants of the past regime projected to flushing them out of the vessel to assure accessibility to the resources squandering for personal gain.

*Tanzania will only maintain its past commendable status if and only if a new regime with different participatory ideology without vengeance come to power especially the opposition parties not related to CDM, ACT, NCCR or CUF can make the good haven to the heartbroken civilians.
It seems to make a lot of sense! However, ...
 
Hukumu ya kupanga kabla ya kusomwa hadharani leo 28/10/2021 ambayo aliidokeza wakati alipohudhuria kwenye mkutano wa waziri mkuu huko Lindi, kwamba baada ya hukumu ya kesi yake dhidi ya Musiba atarejea CCM.

Hapa inathibitisha kwamba ni kweli kulikuwa na ajenda za siri zenye nia OVU
Mungu umpa mtu kadri ya kinywa chake

IMG-20211028-WA0015.jpg


IMG-20211028-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom