Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ila parefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maneno ya mtaani sheheee!!kesi ya madai mtu akikuamulia tu kuwa yupo tayari kukutunza gerezani unavalishwa jezi.Mzee Membe kumbuka pia kwamba deni kalifungi.
Ila linafilisi.Mzee Membe kumbuka pia kwamba deni kalifungi.
“Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu ni jibu kwamba ukidhalilishwa fika Mahakamani uitafute haki yako nimefika hapa kwa niaba ya watanzania wote na Viongozi Wastaafu walionyanyaswa na kudhalilishwa na Mtu huyu"
"Naomba wajue hili halitotokea tena, hasimami tena kudhalilisha Wazee na Viongozi wake, hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu, hasimami tena kuwatukana Watu walioifanyia kazi Nchi hii kwa uaminifu na uadilifu wote, anasimama Mtu kwa kutumwa na kulipwa akadhani kwamba ataendelea kuishi Duniani katika hali hiyo hamtomuona tena akifanya hivyo na Musiba huko uliko naomba hela zangu"
Bernard Membe
Pia, soma=> Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe
Hiyo suluhu ingetafutwa wakati Membe alipolalamika mara ya kwanza na kufungua kesi au lini? CCM ilikuwa ikifanya kazi kama chama cha siasa wakati ule?Hizi hukumu za mfululizo zinazomkabili Cyprian Musiba kutoka kwa wanaccm wenzake hazina afya kwa chama.
Enzi za Mwalimu Nyerere huyu Musiba na Membe au na Fatma wangeitwa mbele ya vikao vya maadili vya chama na kusikilizwa na Uamuzi au Suluhu kupatikana
Ni aibu kubwa kuthibitishiwa na mahakama kuwa CCM ina watu wahuni wahuni wasioheshimu wazee wetu.
Kumtukana Membe au Kinana ndani ya chama ni ushenzi uliopitiliza.
Na nyie vijana mliobaki mjifunze kuheshimu waliowatangulia.
Maendeleo hayana vyama!
Mwanasesere wa Polepole a.k. a bi, Chokochoko, mitala ya Makunduchi imemuaribu, taarabu na ngonjera tu vimemjaa mkichwani. Hamna kitu.Mdharirishaji mwingine ni "power kaaya"!
Kijana miaka 31 unamtongoza Mama mwenye miaka 60, huu ni udhalilishaji wa kijinsia!!
Nasubiri kusikia kutoka kwa Rais mwenye ngonjera ya jinsia ya kike atasemaje kuhusu Power kaaya!!
Hii sio sawa na deni la kukopa mzee..hii ni defamation. Ukishindwa kulipa unapigwa miaka, mradi aliekushitaki anaweza kukulipia chakula Cha jelaMzee Membe kumbuka pia kwamba deni kalifungi.
Hahaaa Mimi Kama musiba tuu, nataka nione atafanywa Nini.Una hela lakini? maana wakili wangu atakuwa Shangazi na nakufungulia hukohuko ZNZ
28 October 2021
Bernard Membe atoa angalizo kuwa kuanzia sasa hakuna tembo wala sisimizi ... ni baada ya hukumu kutolewa ktk Mahakama Kuu ya Tanzania
Source : Mwananchi Digital
Ndo akome..alipe mpaka vitukuu vilipeKwenye ule msiba Musiba alilia kwa uchungu akijua kabisa kinachoenda kutokea.
Ila hizo pesa mbona nyingi mpaka zinapoteza uhalisia?...huyo bwana akidaiwa milioni hamsini tu zinatosha kumpa adabu.
Waliokuwa wanamshabikia na hata wale waandishi waliokuwa wanaenda kumripoti bila kumuuliza maswali Cypria Musiba sasa wamemkimbia wala hawajitokezi tena kumsifia uanaharakati wake
kama ni hivyo basi kijana wangu kaisha, mimi nilifikiri kama haya madeni yetu tunayopelekana police kila leo mara nimeshindwa kulipa kodi mara uliniuzia mbuzi nikalipa nusu nkHii sio sawa na deni la kukopa mzee..hii ni defamation. Ukishindwa kulipa unapigwa miaka, mradi aliekushitaki anaweza kukulipia chakula Cha jela
Vipi mange na kigogo walikuwa hawatukani?Katukana sana akina Zitto na Lissu. Mshenzi sana huyo jamaa
Membe ana njaa tu!Mzee Membe kumbuka pia kwamba deni kalifungi.
Kwani Nani kawashtaki na kudai fidia?Vipi mbona hamumongelei kigogo na Mange kimambi wenyewe walikuwa na haki ya kudhalilisha watu na kuwatukana mitandaoni mbona mnamona Musiba peke yake
Wachukuliwe hatuaVipi mange na kigogo walikuwa hawatukani?
unataka kutuambia kwamba kurudi kwake CCM ni muendelezo wa njaa aliyonayo?Membe ana njaa tu!