Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Asamehe bila kuombwa msamaha? Huenda Musiba akajitokeza kinafiki na kuwaomba msamaha ili yaishe! Hata akiomba msamaha, eleweni ni unafiki tu! Huyu mtu nasikia kuna kiongozi alimlipia mahari wakati akioa lakini baadaye akaja kumtukana akijifanya Mwanaharakati Huru!Mzee msamehe kijana alikuwa anatafuta maisha.
Ajira wakuu hawakutoa kila mtu alibuni njia zake za kujipatia kipato wengine tuliamuaga kuwa wamachinga hata sisi tunahama tu taratibu kwa amri ya serikali sikivu ya mama yetu Mh Samia.
Ukimsaheme utajiongezea thawabu.
Akinywee tu hicho kikombe!