Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

Huyu nae ni mzee wa hovyo tuu...
A hell of a hypocrite. Miaka yote ya Magu akiwa Rais hakumuunga mkono, leo hii anajipendekeza kwa Mama.

Mpuuzi. Mnafiki.. Mhaini.

Na kama Mama eti atamuunga huyu... Atafeli vibaya mnoo.

Be Warned.
Sukuma Gang tulia mnyooshwe
 
Mbona wale watetezi wa Cyprian Musiba siwaoni au wanaogopa kuunganishwa kama wawezeshaji? Wako wapi viongozi wa serikali waliokuwa wakimpa platform? Viko wapi vyombo vya dola vilivyokuwa vikimlinda akirusha kashfa zake huku kazungukwa na washikaji kibao? Viko wapi vyombo vya habari vilivyokuwa vikimpa front page coverage kumsifia kwa ujasiri wake?

Wako wapi viongozi wa chama nambari wani waliokuwa wakimtumia kama mbwa koko kuwashambulia maadui wao? Wako wapi wale wanafiki ndani ya Jamii Forums waliokuwa watetezi wake humu na mpaka sasa nimemshuhudia moja tu eti naye hivi sasa kapata ujasiri wa kumrushia kijembe Musiba. Kweli dunia haina rafiki.
 
Ina maana yote aliyosema Musiba hakuna hata la ukweli?
Kama alimini kulikuwa na ukweli kwenye zile tuhuma zake, alitakiwa akathibitishe mahakamani ili ashinde kesi yake.
Kupoteza kesi maana yake alitoa tuhuma za uongo
Akalipe hela za watu
 
Mdharirishaji mwingine ni "power kaaya"!

Kijana miaka 31 unamtongoza Mama mwenye miaka 60, huu ni udhalilishaji wa kijinsia!!

Nasubiri kusikia kutoka kwa Rais mwenye ngonjera ya jinsia ya kike atasemaje kuhusu Power kaaya!!
Wamezoe hko lumumba
 
Haya sasa, mwanaharakati huru unalo, naambiwa hapa kwamba unaweza kufirisiwa na au hata kufungwa ili ukafanye kazi za kijamii kufidia deni la wenyewe endapo utashindwa kulipa kwa wakati... kama ni ngoma kaka sasa hii yako ni Loketo !!
Anakata rufaa ili ku buy time
 
Kabaki mwenyewe waliomtuma hawapo tena akubali kuolewa mjini.
 
Kwenye ule msiba Musiba alilia kwa uchungu akijua kabisa kinachoenda kutokea.

Ila hizo pesa mbona nyingi mpaka zinapoteza uhalisia?...huyo bwana akidaiwa milioni hamsini tu zinatosha kumpa adabu.
Apitishe bakuli kwa ndugu zake 😃😃😃
 
Mwanaharakati huru akiwa kazini ...tujikumbushe.

 
Back
Top Bottom