wacha akanyee debe kwanza atie adabu kutukana watu hovyo.Musiba hana hela, kwa hiyo kwanza watafirisi mali yake kwenye kesi moja tu ya Fatma, ukiongeza na hii ya Membe ataonekana hatekelezi amri ya mahakama, hapo sasa ndio atafungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha akanyee debe kwanza atie adabu kutukana watu hovyo.Musiba hana hela, kwa hiyo kwanza watafirisi mali yake kwenye kesi moja tu ya Fatma, ukiongeza na hii ya Membe ataonekana hatekelezi amri ya mahakama, hapo sasa ndio atafungwa.
Musiba hatalipa hiyo fidia na aliyemshitaki pamoja na watu wengine wataangamia bila kuamini kilichotokea!!!
“Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu ni jibu kwamba ukidhalilishwa fika Mahakamani uitafute haki yako nimefika hapa kwa niaba ya watanzania wote na Viongozi Wastaafu walionyanyaswa na kudhalilishwa na Mtu huyu"
"Naomba wajue hili halitotokea tena, hasimami tena kudhalilisha Wazee na Viongozi wake, hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu, hasimami tena kuwatukana Watu walioifanyia kazi Nchi hii kwa uaminifu na uadilifu wote, anasimama Mtu kwa kutumwa na kulipwa akadhani kwamba ataendelea kuishi Duniani katika hali hiyo hamtomuona tena akifanya hivyo na Musiba huko uliko naomba hela zangu"
Bernard Membe
Pia, soma=> Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe
Kila mmoja wetu anajua kuwa kuna mantiki lakini je style ile ya kumsema mwenzako wakati mahakama zipo ni sahihi? Angempeleka mahakamani badala ya kujichukulia sheria mkononiIna maana yote aliyosema Musiba hakuna hata la ukweli?
Bwana yule! na kuja kujifanya Mungu mtu!Anasema hasimami tena.
Maxence Melo ana muda wa kuchezea kiasi cha kuanza kupiga maiti? ... Fatma na Membe wanatosha!Ndugu Maxence Melo akamalizie, naona anammudu kabisa
Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, ahojiwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua Cyprian Musiba
mungu wake hayupo hana kinga,zamu yao kulia sasaMusiba hatalipa hiyo fidia na aliyemshitaki pamoja na watu wengine wataangamia bila kuamini kilichotokea!!!
Alikuwa akidaiwa mishahara sijui aliweza lipaAna changamoto kubwa sana.
Naomba aje huko Mbozi na wamchune na NgoziHizi mahakama hizi, sasa Musiba bilioni 6 atapata wapi?
Wangemwambia atoe milioni 30 tu, akishindwa nyumba inauzwa anakuja Mlowo Mbozi kufanya vibarua kwenye mashamba ya kahawa.
Hawa jamaa siku hizi hawachuni ngozi. Wale waganga wa ngozi walikamatwa.Naomba aje huko Mbozi na wamchune na Ngozi
First inn First served. Aanze kulipwa ambaye hukumu ilianza kutoka.Kama mnazingatia alphabet then atalipwa Anna [mama Mbona] kwanza halafu Benard and then Shangazi Fatma!
Akishindwa kulipa, pitisheni bakuri watu watachanga tumfunge jela mpaka atakapolipa!!
Ana bahati sana,nje mada hivi zile ngozi walikua wanafanyia nini?Hawa jamaa siku hizi hawachuni ngozi. Wale waganga wa ngozi walikamatwa.
Mjinga sana huyo bwege, na majiji walikuwa wanamsubiri tu ajae kwenye kumi na nane zaoNa alisema hakuna jaji wa kuhukumu nchi hii.
Kwenye mafanikio ya kimaisha hasa biashara na kilimo.Ana bahati sana,nje mada hivi zile ngozi walikua wanafanyia nini?
Hilo siyo Deni mkuu, mbona vijana wa Tanzania mmepagawa kiasi hicho?Mzee Membe kumbuka pia kwamba deni kalifungi.
Mkuu wanataka Musiba ajiue hilo ndo wamelenga baada ya kukosa kipengele cha kumhukumu kifoKwenye ule msiba Musiba alilia kwa uchungu akijua kabisa kinachoenda kutokea.
Ila hizo pesa mbona nyingi mpaka zinapoteza uhalisia?...huyo bwana akidaiwa milioni hamsini tu zinatosha kumpa adabu.
Huo siyo udhalilishaji,na hapo hakuna kesi kabisa.Mdharirishaji mwingine ni "power kaaya"!
Kijana miaka 31 unamtongoza Mama mwenye miaka 60, huu ni udhalilishaji wa kijinsia!!
Nasubiri kusikia kutoka kwa Rais mwenye ngonjera ya jinsia ya kike atasemaje kuhusu Power kaaya!!
Na ndo maana tulifunga na kuomba ili Magufuli afe,hebu fikiri kwa kina Kama Magufuli angekuwepo hata sasa hali ingekuwaje?Ndugu Maxence Melo akamalizie, naona anammudu kabisa
Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, ahojiwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua Cyprian Musiba