Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Kama chama cha republican wanaruhusu huo utaratibu, aende huko akagombee urais wa marekani. CCM ipo TZ na inautaratibu wake ambao si lazima ufanane na chama kingine. Kama anateseka na muwasho wa kugombea urais wa TZ, ahamie chadomo au kile chama cha mkongoman Zitto, huko atakunwa vizuri tu na atafurahia show.

Bwashee umekunywa chai au unabwabwaja tu hapa?
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
Hivi umeelewa alichoandika?! Hilo suala la awamu ya pili uliloandika kwenye heading umelitoa wapi wakati kwenye twee hajaandika hivyo?!

Kilichopo ni kwamba, officially Donald Trump anajitambulisha kama Florida Resident. Sasa Republican Florida hawakuangalia urais wake na badala yake waliwapitisha Bill Weld, Joe Walsh, na Rocky De La Fuente kupambana na Trump equally at "home" ground badala ya kumpitisha Trump peke yake kama wanavyofanya CCM!
 
Hii TANZANIA SIO MAREKANI... mbona hajatumia mfano wa China au Urusi ( Demokrasia sio kama chupa ya coca cola ifanane kila nchi) ... Tanzania has its own model of Democracy Zwazwa mkubwa
Hivi unakielewa ulicho kiandika au umekulupuka tu.china na urusi kweli.
Ila siwezi kushangaa maana akili hazifanani.kweli kizazi cha lumumba mazwazwa wengi.
 
Hivi unakielewa ulicho kiandika au umekulupuka tu.china na urusi kweli.
Ila siwezi kushangaa maana akili hazifanani.kweli kizazi cha lumumba mazwazwa wengi.
Kufananisha Marekani na Tanzania huo utaratibu aliwafunza nani tangu lini MAREKANI NA TANZANIA ZIKAFANANA ...toeni hoja zinazoeleweka NYUMBU
 
SASA NAANZA KUPATA PICHA, SUMU YA MANGULA!

Ni katika awamu ya nne ya kaka yako na wewe ukiitwa waziri mwandamizi ndani ya serikali ndipo mlipomtimua mzee huyu akaenda kulima nyanya kijijini kwake.
Na JPM kwa kuujua uadilifu wa mzee huyu pasi na shaka alipochukuwa uongozi alimrudisha kutoka shambani.
Ili amsaidie majukumu anayotekeleza mpaka sasa.

Staili ya sumu imekuwa mtindo wa wabobezi,...na msimamo wa mzee huyu wabobezi waliujua na huenda ndio mojawapo ya mbinu hiyo ilipokuwa na lengo la kuondoa vigingi ili kutomzuia mbobezi.

Tunaposema kuna wahuni wachache ndani ya chama na serikali huenda humaanisha hili.
Chama cha wahuni na wanachama lazima wawe wahuni tu
 
Back
Top Bottom