Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

SASA NAANZA KUPATA PICHA, SUMU YA MANGULA!

Ni katika awamu ya nne ya kaka yako na wewe ukiitwa waziri mwandamizi ndani ya serikali ndipo mlipomtimua mzee huyu akaenda kulima nyanya kijijini kwake.
Na JPM kwa kuujua uadilifu wa mzee huyu pasi na shaka alipochukuwa uongozi alimrudisha kutoka shambani.
Ili amsaidie majukumu anayotekeleza mpaka sasa.

Staili ya sumu imekuwa mtindo wa wabobezi,...na msimamo wa mzee huyu wabobezi waliujua na huenda ndio mojawapo ya mbinu hiyo ilipokuwa na lengo la kuondoa vigingi ili kutomzuia mbobezi.

Tunaposema kuna wahuni wachache ndani ya chama na serikali huenda humaanisha hili.
Umekuja Tanzania lini ?

Mangula alirudishwa na JK kuwa makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara , 2012 na JPM kaendelea naye
 
Mwambieni membe aache uwoga awe jasiri
Fomu ya dola au urais? Pia kuna taarifa kua printer ya kuprint fomu nyinigine imeharibika ,kirusi kimeitafuna file yenye fomu na ile iliyotolewa imeisha jazwa.
Tupo Dodoma maana tumehamia huko sio kukaa DSM
 
Hivi umeelewa alichoandika?! Hilo suala la awamu ya pili uliloandika kwenye heading umelitoa wapi wakati kwenye twee hajaandika hivyo?!

Kilichopo ni kwamba, officially Donald Trump anajitambulisha kama Florida Resident. Sasa Republican Florida hawakuangalia urais wake na badala yake wamewapitisha Bill Weld, Joe Walsh, na Rocky De La Fuente kupambana na Trump equally at "home" ground badala ya kumpitisha Trump peke yake kama wanavyofanya CCM!
Kwa hiyo Trump anagombea awamu ya 3 sio ya 2 ?
 
sasa anajua kuna tofauti za tamaduni anachoshangaa ni nini?? huwa naelewaga kushindwa kumuelewa mtu, membe akae kimya tu ni busara pia kuliko huku kulialia kila siku wenzake wanafanya kweli, si akachukue hiyo fomu ...
Achana namambo ya utamaduni angalia katiba inasemaje.kama enzi za jakaya mgombea mwenza hakuwepo unalazimisha na sasa asiwepo.
 
Hii TANZANIA SIO MAREKANI... mbona hajatumia mfano wa China au Urusi ( Demokrasia sio kama chupa ya coca cola ifanane kila nchi) ... Tanzania has its own model of Democracy Zwazwa mkubwa
Acha uppuuzi Urusi na Uchina hakuna demokrasia. Ukandamizaji kwa kwenda mbele.
 
jiwe anajua kwamba jamaa ana mtandao mkubwa ccm kuliko yeye kwa io anajua akikubali tu membe agombee uhakika wa kupita kwnye kura za maoni ni mdogo
 
CCM waliona mapema kumkata miguu huyu jamaa. Angewasumbua sana kama bado angekuwa ndani ya chama.
 
SASA NAANZA KUPATA PICHA, SUMU YA MANGULA!

Ni katika awamu ya nne ya kaka yako na wewe ukiitwa waziri mwandamizi ndani ya serikali ndipo mlipomtimua mzee huyu akaenda kulima nyanya kijijini kwake.
Na JPM kwa kuujua uadilifu wa mzee huyu pasi na shaka alipochukuwa uongozi alimrudisha kutoka shambani.
Ili amsaidie majukumu anayotekeleza mpaka sasa.

Staili ya sumu imekuwa mtindo wa wabobezi,...na msimamo wa mzee huyu wabobezi waliujua na huenda ndio mojawapo ya mbinu hiyo ilipokuwa na lengo la kuondoa vigingi ili kutomzuia mbobezi.

Tunaposema kuna wahuni wachache ndani ya chama na serikali huenda humaanisha hili.
Mmh njaa mbaya sana...si muwapeleke mahakamani sasa?si facts mnazo?kwann mnakaa nyuma ya Keyboard?
 
Ulikokuwa umejificha! Naona ulienda Kenya au Uganda na Rwanda kujificha corona
Sasa hoja ya corona na huu mjadala vinahusiana vipi?! Btw, umetowa wapi dhana ya eti "...nililokokuwa nimejificha"?!
 
Heading yako inasema "...na akashinda kugombea awamu ya pili" , ni wapi kwenye hiyo tweet amesema "ameshinda kugombea awamu ya pili"?
Nanukuu *Chama Cha Republican kimempitisha Donald Trump kuwa Mgombea kwa sharti la kushinda* mwisho wa kunukuu

Swali
Mgombea wa Republican nafasi ya Urais mwaka huu Ni Nani ?
 
Back
Top Bottom