Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Safi sana Membe agombee huko huko CCM maana wanachama wa CCM wanasema wanamhitaji kwa hali na mali.
Wanaosema hayo maneno ni wa Chadema. Humu jukwaani hakuna mwana CCM yeyote alishasema CCM wanahitaji joka la mdimu.
 
Magufuli anakwenda kuandika rekodi ya rais wa kwanza tz kuongoza muhula mmoja
Sawa, Sasa taja rais badala ya Magufuli siyo kusema Magufuli hawi rais bila kutaja Nani atakiwa rais.
Majitu hamna hata mgombea urais kila siku kubwabwaja tuu, Kama Magufuli atabaki bila kutaja wa kumtoa hakika atapita bila kupingwa.
 
Mtanzania yoyote mwenye akili timamu anafaa.
 
Fomu nyingi zipo Zanzibar huku Bara imeprintiwa moja tu.mjomba ako jiwe muoga sana maana alijua kabisa kuwa hakubaliki na yeyote ila analazimisha tu.
Chadema mnazo nyiingi, wagawieni hao mnaowataka. Kwanini mnalazimisha wakachukua fomu toka CCM?
 
Kafananisha kwa sababu mfumo wa vyama unafanana vyama vingi ila sio kwa utajiri au kitukingine.sasa unataka tufananishe na china kweli.najua ulikuwa kujaelewa nini kinaendelea ulikulupuka.
Mbona hajafananisha na Uingereza mana kule pia kuna vyama vingi na bado wana malkia,?
 
Magufuli maneno mengi na kioga oga sana. Mara Urais mgumu ohoo nimesukumiwa huko. Mpishe Membe sasa akusaidie, unang'ang'ana.
Na tunakoelekea Magufuli atang'ang'ania IKULU.
Aka kadikteta UCHWARA kizugaji sana.
 
2020 Mwaga Pombe ya NEC chagua Raisi wa Wananchi
Sawa tutachagua huyo rais wa wananchi, anaitwa Nani ili tuone Kama Hana kashfa za ufisadi, uzinzi, ulevi nk. Tunahitaji kumfahamu mapema Kama tulivyomfahamu mapema Magufuli ambaye unapendekeza tusimpigie kura.
 
Mbona hajafananisha na Uingereza mana kule pia kuna vyama vingi na bado wana malkia,?
Yaani wewe akiliyako sijui huwa unaitumia kuifanyia nini mbona ubongo wako umelala sana hama ccm huko yaani umekuwa kama msukule.sasa bongo tuna malkia hapa mpaka tufananishe na UK.kwanza unamiaka mingapi maana unaonekana huna unalolijua.
 
Back
Top Bottom