Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili


Bwashee umekunywa chai au unabwabwaja tu hapa?
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
Hivi umeelewa alichoandika?! Hilo suala la awamu ya pili uliloandika kwenye heading umelitoa wapi wakati kwenye twee hajaandika hivyo?!

Kilichopo ni kwamba, officially Donald Trump anajitambulisha kama Florida Resident. Sasa Republican Florida hawakuangalia urais wake na badala yake waliwapitisha Bill Weld, Joe Walsh, na Rocky De La Fuente kupambana na Trump equally at "home" ground badala ya kumpitisha Trump peke yake kama wanavyofanya CCM!
 
Hii TANZANIA SIO MAREKANI... mbona hajatumia mfano wa China au Urusi ( Demokrasia sio kama chupa ya coca cola ifanane kila nchi) ... Tanzania has its own model of Democracy Zwazwa mkubwa
Hivi unakielewa ulicho kiandika au umekulupuka tu.china na urusi kweli.
Ila siwezi kushangaa maana akili hazifanani.kweli kizazi cha lumumba mazwazwa wengi.
 
Hivi unakielewa ulicho kiandika au umekulupuka tu.china na urusi kweli.
Ila siwezi kushangaa maana akili hazifanani.kweli kizazi cha lumumba mazwazwa wengi.
Kufananisha Marekani na Tanzania huo utaratibu aliwafunza nani tangu lini MAREKANI NA TANZANIA ZIKAFANANA ...toeni hoja zinazoeleweka NYUMBU
 
Chama cha wahuni na wanachama lazima wawe wahuni tu
 
Kwani Membe hajui form zinachukuliwa wapi?
Au anataka apelekewe nyumbani kwake?
Atachukua wapi kama wanamzuia?? Kama hawamwogopi wafanye uchukuaji fomu uwe huru.Kwanini unataka achukue fomu nyuma ya pazia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…