Form inatoka kwa mfumo gani? Mtu kwenda kuchua au inatoka inapitishwa mtaani?Ushahidi ni kuwa mpaka sasa kuna fomu moja tu iliyotoka, huku kukiwa na wanaccm wengi waliochoka kuendelea kuwa makondoo, lakini hawapatiwi fomu.
Huyo jiwe kwa utahira wake atawabwekea haohao watu wa lumumba.hana uwezo wa kupambana na wapinzani.Chadema hawana mgombea Hadi Sasa. Wamejipima wameona hakuna hata mmoja anayeweza kujaribu kusimama kwenye urais na JPM ndo maana wamekomaa wanamtaka Membe labda wataweza kuangalia wa kupambana na Membe.
Kama Wana mgombea wataje jina, CCM wamemtaja Magufuli.
Wewe ndio zwazwa kabisa,unafananisha Democracy ya Marekani na madikteka kama Russia na ChinaHii TANZANIA SIO MAREKANI... mbona hajatumia mfano wa China au Urusi ( Demokrasia sio kama chupa ya coca cola ifanane kila nchi) ... Tanzania has its own model of Democracy Zwazwa mkubwa
Katiba sio msahafu kamati kuu ya Chama imeridhia kuendelea na mgombea huyohuyo ... Huyo Membe yeye ni nani hasa mpka avunje utamaduni na makubaliano ya kamati kuu ... KUNA VYAMA VINGI AENDE ANAPOONA KUNA MFAA SI NDIO DEMOKRASIA HIYO?Mkuu china hakuna vyama vingi kule chama kimoja tu kwahiyo huwezi linganisha na Tz.sijui kama umenielewa.
Katiba ya ccm inaluhusu kugombea urais kama atatokea mtu atakae tia nia.kama miaka iliyopita hakutokea mtu wakutia nia basi isiwe sababu na mwaka huu asiwepo.
Membe katia nia mwaka huu mbona mnamkatalia wakati katiba inaruhusu.
Wafuasi wake wengi wapo CCM, ndio maana hataki kuachana nao...Kama anateseka na muwasho wa kugombea urais wa TZ, ahamie chadomo au kile chama cha mkongoman Zitto
ITATEGEMEA NIMEAMKAJE SIKU HIO.
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Waliotia nia cdm ni wengi, ila kamati kuu ndio itampitisha mmoja kati ya hao. Huyo wa ccm kapitishwa na kikao gani? Au yesu huwa anapita tu bila kupingwa?
itategemea sasa na aina ya sumu aliyopewa Mangula siku ile.Baba kasema... watoto kulala mapema...yup
Nashukuru kwakukubari kuwa ccm hakuna democrasia kuna udikteta wa jiwe akiamua kitu yeye basi mamilioni ya wanachama hawaya husu.Katiba sio msahafu kamati kuu ya Chama imeridhia kuendelea na mgombea huyohuyo ... Huyo Membe yeye ni nani hasa mpka avunje utamaduni na makubaliano ya kamati kuu ... KUNA VYAMA VINGI AENDE ANAPOONA KUNA MFAA SI NDIO DEMOKRASIA HIYO?
Form inatoka kwa mfumo gani? Mtu kwenda kuchua au inatoka inapitishwa mtaani?
itategemea sasa na aina ya sumu aliyopewa Mangula siku ile.
Chadema kweli hamueleweki, mlipiga kelele Lissu rais, rais Sasa toka mwamba achukue fomu mmenywea Sasa mmejificha kwa Membe. Endeleeni na huyo mgombea wenu asiyejulikana Hadi leo acheni uoga.Sisi CCM wanaopenda demokrasia na uhuru tutampigia kura Membe
Nakubaliana na wewe kwa 100% mkuu,Sumu kweli Mangula walimpa.No cha muhimu ni wanzuki aliyokunywa siku ile hadi kapoteza focus akaanguka....
Kuna wakati nataka kuamini alipigwa kweli[emoji3]
Akihama wafuasi wake watamfuata tu, kama walivofanya wafuasi wa mamvi kuhamia chadomo kwa mafuriko mwaka 2015.Wafuasi wake wengi wapo CCM, ndio maana hataki kuachana nao
Mbona wamemuhofia kiasi hate Cha kukiuka taratibu za kushughulioa na nidhamu ndani ya ccm. Huo ni uoga tu unamsumbua magufuli maana CCM hawamtaki Kama wanamtaka aache watu wachukue fomu apigiwe kura ashindanishwe ashinde kwani tatizo Nini kwaniMembe alizoea kubebwa mzee kikwete ila yeye binafsi ni mweupe mno
Uwe unakaa kimya kama ujui kitu wakati mwingine ni busara ya kawaida mbonaAlienda akakuta mlango umefungwa?
Mbona wamemuhofia kiasi hate Cha kukiuka taratibu za kushughulioa na nidhamu ndani ya ccm. Huo ni uoga tu unamsumbua magufuli maana CCM hawamtaki Kama wanamtaka aache watu wachukue fomu apigiwe kura ashindanishwe ashinde kwani tatizo Nini kwani
Mkuu kama jiwe anataka kweli kugombea uraisi msimu huu basi asiluhusu membe kuchukua fomu.lakini akiji tusu kuacha achukue fomu basi ujue jiwe hana chake kaisha hapiti hata afanyeje.Mbona wamemuhofia kiasi hate Cha kukiuka taratibu za kushughulioa na nidhamu ndani ya ccm. Huo ni uoga tu unamsumbua magufuli maana CCM hawamtaki Kama wanamtaka aache watu wachukue fomu apigiwe kura ashindanishwe ashinde kwani tatizo Nini kwani