Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Ushahidi ni kuwa mpaka sasa kuna fomu moja tu iliyotoka, huku kukiwa na wanaccm wengi waliochoka kuendelea kuwa makondoo, lakini hawapatiwi fomu.
Form inatoka kwa mfumo gani? Mtu kwenda kuchua au inatoka inapitishwa mtaani?
 
Chadema hawana mgombea Hadi Sasa. Wamejipima wameona hakuna hata mmoja anayeweza kujaribu kusimama kwenye urais na JPM ndo maana wamekomaa wanamtaka Membe labda wataweza kuangalia wa kupambana na Membe.
Kama Wana mgombea wataje jina, CCM wamemtaja Magufuli.
Huyo jiwe kwa utahira wake atawabwekea haohao watu wa lumumba.hana uwezo wa kupambana na wapinzani.
 
Hii TANZANIA SIO MAREKANI... mbona hajatumia mfano wa China au Urusi ( Demokrasia sio kama chupa ya coca cola ifanane kila nchi) ... Tanzania has its own model of Democracy Zwazwa mkubwa
Wewe ndio zwazwa kabisa,unafananisha Democracy ya Marekani na madikteka kama Russia na China
 
Mkuu china hakuna vyama vingi kule chama kimoja tu kwahiyo huwezi linganisha na Tz.sijui kama umenielewa.
Katiba ya ccm inaluhusu kugombea urais kama atatokea mtu atakae tia nia.kama miaka iliyopita hakutokea mtu wakutia nia basi isiwe sababu na mwaka huu asiwepo.
Membe katia nia mwaka huu mbona mnamkatalia wakati katiba inaruhusu.
Katiba sio msahafu kamati kuu ya Chama imeridhia kuendelea na mgombea huyohuyo ... Huyo Membe yeye ni nani hasa mpka avunje utamaduni na makubaliano ya kamati kuu ... KUNA VYAMA VINGI AENDE ANAPOONA KUNA MFAA SI NDIO DEMOKRASIA HIYO?
 
Nayo ni hoja nzito ati[emoji3][emoji3]

Utaratibu wa chumbani kwa watu bro
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Waliotia nia cdm ni wengi, ila kamati kuu ndio itampitisha mmoja kati ya hao. Huyo wa ccm kapitishwa na kikao gani? Au yesu huwa anapita tu bila kupingwa?
 
Katiba sio msahafu kamati kuu ya Chama imeridhia kuendelea na mgombea huyohuyo ... Huyo Membe yeye ni nani hasa mpka avunje utamaduni na makubaliano ya kamati kuu ... KUNA VYAMA VINGI AENDE ANAPOONA KUNA MFAA SI NDIO DEMOKRASIA HIYO?
Nashukuru kwakukubari kuwa ccm hakuna democrasia kuna udikteta wa jiwe akiamua kitu yeye basi mamilioni ya wanachama hawaya husu.
anatumia nguvu sana kuupata uraisi baba wa taifa aliwahi kusema tumuogope mtu kama huyo maana yupo radhi kuvunja katiba au kuuwa iliafanikishe jambo lake.
 
Form inatoka kwa mfumo gani? Mtu kwenda kuchua au inatoka inapitishwa mtaani?

Kuchukua fomu kuna mfumo gani wa kutisha, mbona 2015 walichukua wagombea wengi, au wakati huo zilitembezwa mitaani?
 
Sisi CCM wanaopenda demokrasia na uhuru tutampigia kura Membe
Chadema kweli hamueleweki, mlipiga kelele Lissu rais, rais Sasa toka mwamba achukue fomu mmenywea Sasa mmejificha kwa Membe. Endeleeni na huyo mgombea wenu asiyejulikana Hadi leo acheni uoga.
 
No cha muhimu ni wanzuki aliyokunywa siku ile hadi kapoteza focus akaanguka....

Kuna wakati nataka kuamini alipigwa kweli[emoji3]
Nakubaliana na wewe kwa 100% mkuu,Sumu kweli Mangula walimpa.

Mzee wa watu mnyonge mwenzetu,very sad.
 
Membe alizoea kubebwa mzee kikwete ila yeye binafsi ni mweupe mno
Mbona wamemuhofia kiasi hate Cha kukiuka taratibu za kushughulioa na nidhamu ndani ya ccm. Huo ni uoga tu unamsumbua magufuli maana CCM hawamtaki Kama wanamtaka aache watu wachukue fomu apigiwe kura ashindanishwe ashinde kwani tatizo Nini kwani
 
Nadhani kila mtu Mtanzania yupo huru kugombea ili aende kwa wananchi wamchambue kama ana uwezo,sifa,na kama anakubalika ili wamuulize nini aitaifanyia Tanzania na walinganishe kama amefanya nini kijijini ,wilayani au mkoani kwake mpaka aone anaweza pia kufanya kwa Taifa letu
 
Jamani mumpe form mze huyu ili uchaguzi unoge. Kasema bila yeye uchaguzi hautanoga.
 
Yeye sio wakwanza kutumuliwa walishatimuliwa watu wazito huko nyuma

Membe ni mwanachama wa kawaida tu atawatisha nyie mlieanza siasa juzi
Mbona wamemuhofia kiasi hate Cha kukiuka taratibu za kushughulioa na nidhamu ndani ya ccm. Huo ni uoga tu unamsumbua magufuli maana CCM hawamtaki Kama wanamtaka aache watu wachukue fomu apigiwe kura ashindanishwe ashinde kwani tatizo Nini kwani
 
Mbona wamemuhofia kiasi hate Cha kukiuka taratibu za kushughulioa na nidhamu ndani ya ccm. Huo ni uoga tu unamsumbua magufuli maana CCM hawamtaki Kama wanamtaka aache watu wachukue fomu apigiwe kura ashindanishwe ashinde kwani tatizo Nini kwani
Mkuu kama jiwe anataka kweli kugombea uraisi msimu huu basi asiluhusu membe kuchukua fomu.lakini akiji tusu kuacha achukue fomu basi ujue jiwe hana chake kaisha hapiti hata afanyeje.
 
Back
Top Bottom