Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Kafukuzwa na nani?unajua taratibu za kufukuzwa uanachama ndani za ccm zikoje.usilopoke jambo usilo lijua ni bora kukaa kimya tu.
Hata Kama utaratibu haukufuatwa! Ndio ashafukuzwa sasa. CHADEMA walipowafukuza wale wabunge wanne bila kuwasikiliza wala kuwapa barua haikuhalalisha kuendelea kwao kuwepo CHADEMA, kwani kosa halifutwi kwa kosa...
 
Unajua taratibu na sheria za chadema zipoje.achakulopoka vitu usivyo vijua.uwoga wa jiwe anajua yeye ni kilaza kiasi gani ndio maana hataki wapinzani.
 
Unajua taratibu na sheria za chadema zipoje.achakulopoka vitu usivyo vijua.uwoga wa jiwe anajua yeye ni kilaza kiasi gani ndio maana hataki wapinzani.
Kuna taratibu ambazo ni universal moja kati ya taratibu hizi mkuu:;

1. Huwezi kumuhukum mtu bila kumsikiliza

2. Huwezi kumfukuza mtu bila kumwambia sababu za kumfukuza kwake kwa maandishi

We muulize hata Mama anajua hizi habari
 
Huu ndio ushauri, no more
Eti anajifanya kidume sasa hivi! Alikuwa wapi 1995? Alikuwa wapi wakati Mkapa anamaliza awamu yake ya kwanza? Alikuwa wapi wakati JK anamaliza awamu yake ya Kwanza? Sasa hivi ndio anaiona Demokrasia?
Hata hivyo Membe anapaswa sana kumshukuru JK, Alimbeba sana, Hana uwezo.
 
Kuna taratibu ambazo ni universal moja kati ya taratibu hizi mkuu:;

1. Huwezi kumuhukum mtu bila kumsikiliza

2. Huwezi kumfukuza mtu bila kumwambia sababu za kumfukuza kwake kwa maandishi

We muulize hata Mama anajua hizi habari
Sidhani kama jiwe anazijua hizo.maana membe hajaambiwa sababu yeyote na wamempiga chini.jiwe itabidi ajitafakali kwanza maana hatoweza kupambana lisu.
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
Yuko wapi supika aliyesema Chadema kuna ufalme wa Mbowe, Je, huko wanakoa fomu moja tu kuna dubwana gani.
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
Hamia USA Membe, wasikutishe buana!! Kwanza wewe ni mwenyeji huko unajulikana, shida iko wapi?

La! Usipokaa makini utakufa Kwa presha vibaya Sana, maana si Kwa kulalamika huko, 😂😂😂
 
Sasa si nimeshasema alipitishwa kugombea na Reps wengine 3?! Na ndio maana kwenye hiyo tweet, ameweka neno "sharti", akiwa na maana kwamba, ingawaje Trump officially ni Florida Resident, bado hatapewa favor ya kuwa "winner" wa Florida isipokuwa tu kama atawashinda akina Bill Weld!

Akishashinda hapo, ndipo ataondoka na kapu lote lenye Florida Delegates including wale ambao hawatampigia!
Mkuu Chige ,ufanyalo ni sawa na kumpa makande mtoto mchanga wa siku 3. Huyo ubongo wake hawezi kuelewa haya.
 
Hahaha Yesu anasulubu wote kesha gundua akiwaacha mnamtundika
 
Mkuu Chige ,ufanyalo ni sawa na kumpa makande mtoto mchanga wa siku 3. Huyo ubongo wake hawezi kuelewa haya.
Na nilichogundua kuhusu huyu Mheshimiwa baro ni kwamba hafuatilii siasa za kimataifa, na kwa muktadha huu, siasa za US! Lau kama angekuwa mfuatiliaji, mara moja angeona Bill Weld na wenzake waliotajwa hapo juu wote ni Republican Florida, na siasa zilizotajwa ni za FL!
 
Jibu kwanza swali uliloulizwa halafu ndo uulize lako
Ni sheria ipi inasema kua inabidi kuuliza au kuhitaji time huru ukiwa madarakani?
Pili kada mtiifu Membe ameona ni muda sahihi kufanya yeye kuliko kumtaka mtu mwingine afanye.
Mwisho..ebu nipe evidence ya JPM akikemea rushwa,ufisadi wakati wa Mkapa na Kikwete.
 
Na nilichogundua kuhusu huyu Mheshimiwa baro ni kwamba hafuatilii siasa za kimataifa, na kwa muktadha huu, siasa za US! Lau kama angekuwa mfuatiliaji, mara moja angeona Bill Weld na wenzake waliotajwa hapo juu wote ni Republican Florida, na siasa zilizotajwa ni za FL!
Florida ipo Muleba?
 
Kwani lazima CCM ndio maana kuna vyama vingi vya siasa, watu walishakufukuza wewe unang'ang'ania tuu ilihali wao wala hawana mpango hata wa kulitaja jina lako kwa bahati mbaya.
Hivi kwanini jpm alimfukuza Membe?
 
Back
Top Bottom