MR. IBU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,380
- 2,965
Huyo jiwe anabwagwa mapema tuu.hana ujasili wakusimama mbele ya lisu.na hasubutu.Lissu atapita kiulaini tu Kama atagombea na jibwa Koko lenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jiwe anabwagwa mapema tuu.hana ujasili wakusimama mbele ya lisu.na hasubutu.Lissu atapita kiulaini tu Kama atagombea na jibwa Koko lenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ccm tunamtaka chapombe....
View attachment 1487442
Hata Kama utaratibu haukufuatwa! Ndio ashafukuzwa sasa. CHADEMA walipowafukuza wale wabunge wanne bila kuwasikiliza wala kuwapa barua haikuhalalisha kuendelea kwao kuwepo CHADEMA, kwani kosa halifutwi kwa kosa...Kafukuzwa na nani?unajua taratibu za kufukuzwa uanachama ndani za ccm zikoje.usilopoke jambo usilo lijua ni bora kukaa kimya tu.
Unajua taratibu na sheria za chadema zipoje.achakulopoka vitu usivyo vijua.uwoga wa jiwe anajua yeye ni kilaza kiasi gani ndio maana hataki wapinzani.Hata Kama utaratibu haukufuatwa! Ndio ashafukuzwa sasa. CHADEMA walipowafukuza wale wabunge wanne bila kuwasikiliza wala kuwapa barua haikuhalalisha kuendelea kwao kuwepo CHADEMA, kwani kosa halifutwi kwa kosa...
Kuna taratibu ambazo ni universal moja kati ya taratibu hizi mkuu:;Unajua taratibu na sheria za chadema zipoje.achakulopoka vitu usivyo vijua.uwoga wa jiwe anajua yeye ni kilaza kiasi gani ndio maana hataki wapinzani.
Eti anajifanya kidume sasa hivi! Alikuwa wapi 1995? Alikuwa wapi wakati Mkapa anamaliza awamu yake ya kwanza? Alikuwa wapi wakati JK anamaliza awamu yake ya Kwanza? Sasa hivi ndio anaiona Demokrasia?Huu ndio ushauri, no more
Sidhani kama jiwe anazijua hizo.maana membe hajaambiwa sababu yeyote na wamempiga chini.jiwe itabidi ajitafakali kwanza maana hatoweza kupambana lisu.Kuna taratibu ambazo ni universal moja kati ya taratibu hizi mkuu:;
1. Huwezi kumuhukum mtu bila kumsikiliza
2. Huwezi kumfukuza mtu bila kumwambia sababu za kumfukuza kwake kwa maandishi
We muulize hata Mama anajua hizi habari
Yuko wapi supika aliyesema Chadema kuna ufalme wa Mbowe, Je, huko wanakoa fomu moja tu kuna dubwana gani.Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Kwani sasa hivi kuna mtu kakatazwa kwenda kuchukua? Je Membe alienda wakamnyima?Kuchukua fomu kuna mfumo gani wa kutisha, mbona 2015 walichukua wagombea wengi, au wakati huo zilitembezwa mitaani?
Na pombe alilewa akaanguka, Mukya nduki! Kuficha sooo, nmepigwa na wasiojulikanaNakubaliana na wewe kwa 100% mkuu,Sumu kweli Mangula walimpa.
Mzee wa watu mnyonge mwenzetu,very sad.
Hamia USA Membe, wasikutishe buana!! Kwanza wewe ni mwenyeji huko unajulikana, shida iko wapi?Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Mkuu Chige ,ufanyalo ni sawa na kumpa makande mtoto mchanga wa siku 3. Huyo ubongo wake hawezi kuelewa haya.Sasa si nimeshasema alipitishwa kugombea na Reps wengine 3?! Na ndio maana kwenye hiyo tweet, ameweka neno "sharti", akiwa na maana kwamba, ingawaje Trump officially ni Florida Resident, bado hatapewa favor ya kuwa "winner" wa Florida isipokuwa tu kama atawashinda akina Bill Weld!
Akishashinda hapo, ndipo ataondoka na kapu lote lenye Florida Delegates including wale ambao hawatampigia!
WakweeCcm tunamtaka chapombe....
View attachment 1487442
Na nilichogundua kuhusu huyu Mheshimiwa baro ni kwamba hafuatilii siasa za kimataifa, na kwa muktadha huu, siasa za US! Lau kama angekuwa mfuatiliaji, mara moja angeona Bill Weld na wenzake waliotajwa hapo juu wote ni Republican Florida, na siasa zilizotajwa ni za FL!Mkuu Chige ,ufanyalo ni sawa na kumpa makande mtoto mchanga wa siku 3. Huyo ubongo wake hawezi kuelewa haya.
Ni sheria ipi inasema kua inabidi kuuliza au kuhitaji time huru ukiwa madarakani?Jibu kwanza swali uliloulizwa halafu ndo uulize lako
Florida ipo Muleba?Na nilichogundua kuhusu huyu Mheshimiwa baro ni kwamba hafuatilii siasa za kimataifa, na kwa muktadha huu, siasa za US! Lau kama angekuwa mfuatiliaji, mara moja angeona Bill Weld na wenzake waliotajwa hapo juu wote ni Republican Florida, na siasa zilizotajwa ni za FL!
Hapana Mimi ni Bishweko ila nina imani kua Demokrasia ndani ya CCM ni kitu muhimu sana..apewe fomu then akishindwa basi.Hivi kumbe wewe ni Membe? Kavunjeni ulisema una wenzako sita.
Hivi kwanini jpm alimfukuza Membe?Kwani lazima CCM ndio maana kuna vyama vingi vya siasa, watu walishakufukuza wewe unang'ang'ania tuu ilihali wao wala hawana mpango hata wa kulitaja jina lako kwa bahati mbaya.