Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Membe alizoea kubebwa mzee kikwete ila yeye binafsi ni mweupe mno
Nakubaliana na wewe 100%.
Membe ni mweupe, alibebwa na Urais wa jamaa yake, na hawezi kukuonyesha alipowahi kuleta impact nchi hii, na ukachero mbobezi wake ni hekaya tu, ndio maana walimnasa kirahisi kwenye maongezi, utetezi wake wa demokrasia ndani ya CCM ameuanza baada ya kutoka kwenye utawala, mfumo ambao ndio ulimjenga na yeye aliujenga, akanufaika nao, akatajirika wakati wa awamu ya ndugu yake. Kama alivyokuwa akisema Musiba, sawa kabisa. Ni kiongozi dhaifu asiye na principles. Na inawezekana kabisa nchi hii ingekuwa ishauzwa kama 2015 angepita Membe (au Lowassa) watu ambao wanashiba ndio wanasema chakula kina mchanga.
Lakini mpeni fomu!
Msidhani sisi wajinga hatumjui Membe. Tunatetea Demokrasi. Kwa nini mnamuogopa?
Mpeni fomu!