mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Tatizo liko wapi? Mbona kuna hata viongozi wa Bodi za klabu hapa kwetu wana kesi za wizi mahkamani, itakuwa mchezaji?Huyo tatizo lake ni Wizi ndio maaana akakosa timu, mshapewa tahadhali siku akisepa na Basi la Club na hicho kijengo chenu akawapiga hati akavuta Mpunga msilalamike shauri yenu. Subir aaanze na nyinyi kwanza
Shadeeya ulikuwa wapi siku zote hizi Wananchi wenzako tulijawa na hofu. By the way karibu home!Naombea isiwe nguvu ya soda tu mwisho wa siku tukakosa pa kujificha.
Na bila kusahau pale Duniani Tandale palipouwa kiwango cha Mwamba wa Lusaka Triple C.Trip za magomeni na kinondoni zimpitie mbali tu,jamaa ni fundi hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh...mungu apishie mbaliHuyo tatizo lake ni Wizi ndio maaana akakosa timu, mshapewa tahadhali siku akisepa na Basi la Club na hicho kijengo chenu akawapiga hati akavuta Mpunga msilalamike shauri yenu. Subir aaanze na nyinyi kwanza
Hata huyo mropokaji wenu alikuwa tapeli wa magari enzi hizo!Naomba ulete sababu za kutimuliwa Kaizer chiefs mkuu.
Nasikia alikuwa lord eyes kule South Africa yaani anautalaam pia ya kuondoka na side mirror [emoji1787]
Nugaz au? 🤣🤣
Hakika Swahiba.Trip za magomeni na kinondoni zimpitie mbali tu,jamaa ni fundi hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana Mkuu. Ila juzi morison kaupiga wa kutosha aisee.Shadeeya ulikuwa wapi siku zote hizi Wananchi wenzako tulijawa na hofu. By the way karibu home!
Ananikumbusha enzi za akina Lunyamila na baadae Msuva. Hopefully atawasaidia wananchi kwenye msimu huu wa ligi.Ahsante sana Mkuu. Ila juzi morison kaupiga wa kutosha aisee.
Hakika Mkuu atatusaidia.Ananikumbusha enzi za akina Lunyamila na baadae Msuva. Hopefully atawasaidia wananchi kwenye msimu huu wa ligi.
Manara anadaiwa hela za perfume hadi leo huko DubaiNugaz au? 🤣🤣
🤣🤣🤣 ilikuwaje?Manara anadaiwa hela za perfume hadi leo huko Dubai
Wengine katika baadhi ya klabu waliwahi kukabiliwa na tuhuma za wizi wa magariTatizo liko wapi? Mbona kuna hata viongozi wa Bodi za klabu hapa kwetu wana kesi za wizi mahkamani, itakuwa mchezaji?
Huyu
Orando pirates ..uneducated (fool)Naomba ulete sababu za kutimuliwa Kaizer chiefs mkuu.
Nasikia alikuwa lord eyes kule South Africa yaani anautalaam pia ya kuondoka na side mirror 🤣
Inabidi TFF waongeze ulinzi kila Yanga inapochezaNaomba ulete sababu za kutimuliwa Kaizer chiefs mkuu.
Nasikia alikuwa lord eyes kule South Africa yaani anautalaam pia ya kuondoka na side mirror [emoji1787]
Kweli Yanga A kamfunga Yanga B basi tafuraniKwa mara ya kwanza huyu mtu amenifanya nimkubali kwa 98%...ni fundi ....fundi..kweri kweri....kila apatapo mpira wewe subiria furaha kwa kile atakachofanya!....najiuliza huyu amekuja Yanga kweli au anatafuta Njia ya kupita tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣
Asante kwa kunirekebisha 🙏Orando pirates ..uneducated (fool)