Benard Morrison Acha Kabisa...

Benard Morrison Acha Kabisa...

Huyo tatizo lake ni Wizi ndio maaana akakosa timu, mshapewa tahadhali siku akisepa na Basi la Club na hicho kijengo chenu akawapiga hati akavuta Mpunga msilalamike shauri yenu. Subir aaanze na nyinyi kwanza
Tatizo liko wapi? Mbona kuna hata viongozi wa Bodi za klabu hapa kwetu wana kesi za wizi mahkamani, itakuwa mchezaji?
 
Lugola kamwaribia magazeti yote yalikuwa yanamwandika yeye wiki nzima sasa y lugola imehamisha mada
 
Hata huyo mropokaji wenu alikuwa tapeli wa magari enzi hizo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu
Screenshot_20200124-184448.png
 
Naomba ulete sababu za kutimuliwa Kaizer chiefs mkuu.

Nasikia alikuwa lord eyes kule South Africa yaani anautalaam pia ya kuondoka na side mirror 🤣
Orando pirates ..uneducated (fool)
 
Back
Top Bottom