Benard Morrison Acha Kabisa...

Yanga itakuwa imepata winga wa kufukia waliposhindwa Ngassa na Kaseke... kikubwa tu walipe mishara timu isije kuyumba tena
 
Simba mbona mnahamaki ? Yule ni mchezaji hatari sio kama wale veterani wenu wanaotumia boster maana kwenu kumsajili kijana ni shida mpaka uwe veterani kama Wawa Nyoni Manula Kagere Boko Kapombe Kahata Kanda nk
 
Mbona ninyi mmeajiri mwizi na tapeli wa magari hili hamlioni kuwa na kiongozi mwizi lakini inawezekana maana hata aliyekuwa mwenyekiti wenu na makamo wake wako mahakamani
 
Mbona ninyi mmeajiri mwizi na tapeli wa magari hili hamlioni kuwa na kiongozi mwizi lakini inawezekana maana hata aliyekuwa mwenyekiti wenu na makamo wake wako mahakamani
Aisee huyu Marrison atawakondesha safari hii! Anatisha sana huyu kiumbe! Afu mkuu unajua Hans Pop Makofia alihusika mpaka kwenye kesi za uhaini! Wachezaji na viongozi wengi sana wa mikia wana historia ya uharifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga itakuwa imepata winga wa kufukia waliposhindwa Ngassa na Kaseke... kikubwa tu walipe mishara timu isije kuyumba tena
I wish Istokee migomo na changamoto kama misimu kadhaa tuliyo pitia,Morrison hakika ni Mchezaji anaye kushawishi utoroke hata kazini ili usikose burudani yake. Yanga tulimis sana wing a Machachari kana yeye tangu aondoke Saimon Msuva27, pia uwepo was Haruna Nionzima pale kati unaifanya Tim icheze kwa chemistry hatar.
 
MPWAAA MPITAJI WALLAHI SIO.KWA SHOW ILE AIAEE HAMIDA MWENYEWE ANARUDI
 
Niyozima, huyu morisoni ,yule mapinduzi , Hawa Tayari chemistry imeanza kukubali , uzuri hata vimo vyao wanaendana na uchezaji wao

Wakija pia akina Banka,sibomana, Feisal, ngasa ,wanakua na sub nzuri

Kuna yule Erik kapamba nae uwezo haujaonekana bado

MTC | 101| [emoji769]
 
ANDIKEN POLEPOLE MSIJIACHIE NIMEKUTANA NA HIRIZI YA KAGERE PG YA PILI OOH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…