Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombea isiwe nguvu ya soda tu mwisho wa siku tukakosa pa kujificha.
Kabisaa.
Yanga itakuwa imepata winga wa kufukia waliposhindwa Ngassa na Kaseke... kikubwa tu walipe mishara timu isije kuyumba tena
Aisee huyu Marrison atawakondesha safari hii! Anatisha sana huyu kiumbe! Afu mkuu unajua Hans Pop Makofia alihusika mpaka kwenye kesi za uhaini! Wachezaji na viongozi wengi sana wa mikia wana historia ya uharifu!Mbona ninyi mmeajiri mwizi na tapeli wa magari hili hamlioni kuwa na kiongozi mwizi lakini inawezekana maana hata aliyekuwa mwenyekiti wenu na makamo wake wako mahakamani
Hahahaha, duh kibokoMorison leo katembea juu ya mpira, huyu ni kama lionel messi.
Ametembea wapi!??acheni kukuza vituMorison leo katembea juu ya mpira, huyu ni kama lionel messi.
Bernard Morisson ni kijana?Simba mbona mnahamaki ? Yule ni mchezaji hatari sio kama wale veterani wenu wanaotumia boster maana kwenu kumsajili kijana ni shida mpaka uwe veterani kama Wawa Nyoni Manula Kagere Boko Kapombe Kahata Kanda nk
I wish Istokee migomo na changamoto kama misimu kadhaa tuliyo pitia,Morrison hakika ni Mchezaji anaye kushawishi utoroke hata kazini ili usikose burudani yake. Yanga tulimis sana wing a Machachari kana yeye tangu aondoke Saimon Msuva27, pia uwepo was Haruna Nionzima pale kati unaifanya Tim icheze kwa chemistry hatar.Yanga itakuwa imepata winga wa kufukia waliposhindwa Ngassa na Kaseke... kikubwa tu walipe mishara timu isije kuyumba tena
MPWAAA MPITAJI WALLAHI SIO.KWA SHOW ILE AIAEE HAMIDA MWENYEWE ANARUDIKwa mara ya kwanza huyu mtu amenifanya nimkubali kwa 98%...ni fundi ....fundi..kweri kweri....kila apatapo mpira wewe subiria furaha kwa kile atakachofanya!....najiuliza huyu amekuja Yanga kweli au anatafuta Njia ya kupita tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niyozima, huyu morisoni ,yule mapinduzi , Hawa Tayari chemistry imeanza kukubali , uzuri hata vimo vyao wanaendana na uchezaji waoI wish Istokee migomo na changamoto kama misimu kadhaa tuliyo pitia,Morrison hakika ni Mchezaji anaye kushawishi utoroke hata kazini ili usikose burudani yake. Yanga tulimis sana wing a Machachari kana yeye tangu aondoke Saimon Msuva27, pia uwepo was Haruna Nionzima pale kati unaifanya Tim icheze kwa chemistry hatar.