Yaani unafananisha timu ya taifa ya ZambiaMkuu,usimfanishe Chama na vitu vya kijinga.Mtu hata timu yake ya Taifa hayupo utamfananishaje na mwamba wa Lusaka,a.k.a fundi Cleotas
Yale madoido yana shida gani kweni?Kama hujafahamu wengi na naamini hata wewe walimfurahia zaidi pale alipojipiga chenga mwenyewe na kuleta madoido yale ya kizwazwa na si hayo mengine unayoyazungumzia wewe
Mbona unajidhalilisha mkuu?Mkuu,usimfanishe Chama na vitu vya kijinga.Mtu hata timu yake ya Taifa hayupo utamfananishaje na mwamba wa Lusaka,a.k.a fundi Cleotas
Mbona unajidhalilisha mkuu?
Hivi unalinganisha timu ya taifa ya Ghana na Zambia?
Uko timamu kabisa?
Yale madoido yana shida gani kweni?
Sheria za TFF na FIFA zanasemaje kuhusu Yale madoido ?
Punguza chuki kwenye vitu visivyokua na maana.
Yaani unafananisha timu ya taifa ya Zambia
na Ghana?! Nigga?!
Waulize kina Fraga mbona hampo timu ya
taifa?!
Mpira ndio umeanza kushabikia leo nini?
Kwani ghana ubingwa wa Africa wameuchukua lini na Zambia lini??
Mkuu unatia aibu tena sana, Ghana kamzidi Zambia kwa kila kitu, Ghana kachukua ubingwa wa Africa cup of nation mara nyingi kuliko hao Zambia.Usitoke nje ya mada ndugu,unavyoona wewe ghana ni kali saaaaaaaaaaaaqqqaaqana kuliko zambia?
Soka limebadilika sana acheni kukariri vyura nyie.
We Mpira hujui nenda FIFA ranking kamwangalie Ghana na Zambia ujionee tofauti?Mpira ndio umeanza kushabikia leo nini?
Kwani ghana ubingwa wa Africa wameuchukua lini na Zambia lini??
Tuelezee kwanza pale kafanya kosa gani kwanza?Msikilize kocha wako naye katoa maoni gani kuhusu ule upuuzi,utajua kati yangu na wewe ni nani anayependa vitu visivyo na maana,acheni kupenda ujinga ujinga usio na msaada kwa timu kijana.Ukweli daima utakuweka huru
Mkuu unatia aibu tena sana, Ghana kamzidi Zambia kwa kila kitu, Ghana kachukua ubingwa wa Africa cup of nation mara nyingi kuliko hao Zambia.
Halafu hata kwenye FIFA ranking Ghana wapo juu kuliko Zambia. Sasa tuambie kigezo kipi ulichokitumia wewe kuifanya Zambia kuwa juu ya Ghana kisoka?
View attachment 1337785View attachment 1337786
Sent using Jamii Forums mobile app
We Mpira hujui nenda FIFA ranking kamwangalie Ghana na Zambia ujionee tofauti?
Quality ya wachezaji wa Ghana ni kubwa mno tofauti na ya Zambia hata hilo hujui?
Mara ya mwisho Zambia kufuzu fainali za kombe la dunia ni lini?
Zambia hii hii iloshindwa kwenda afcon si Tanzania tukaenda?
Hebu changamsha ubongo wako mkuu.
Swala la ubingwa hata Aston villa amechukua UEFA, Nottingham Forest kachukua UEFA Arsenal hajawahi kulichukulia.
Tuelezee kwanza pale kafanya kosa gani kwanza?
Alafu mbona vile vitu vya kawaida tu inaonekana umeumia sana?
Je alivofanya vile alipoteza mpira ukaleta madhara golini kwake?
Watakukumbuka usemi wakoNaombea isiwe nguvu ya soda tu mwisho wa siku tukakosa pa kujificha.
Sasa hivi anawashambulia kutokea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo itabidi tupate pesa kumbakiza...
Tuka aondoke msuva tulikosa mtu wakutokea pembeni kuanzisha mashambulizi, ngasa kafeli,kaseke alifeli,ps kajaribu kafeli lakini morisson anaonekana ndio mtu sahihi wakutokea pembeni kama ilivyo falsafa ya club ya yanga kwa miaka mingi.
Hakika huyu jamaa anajua,ana drible,anapiga pasi zenye macho,anaweza kupunguza watu,akizidiwa anaweza kutafuta faulo au kona,ana kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmesahau alivyowafanya jumapiliNa bila kusahau pale Duniani Tandale palipouwa kiwango cha Mwamba wa Lusaka Triple C.
Bado anawasaidiaHakika Mkuu atatusaidia.
Nimejikuta nawakumbuka wale waliokuwa wanasema tumesajili mwizi. Kwa uchezaji ule hata kama alikuwa potelea pwete. 😂😂