Benard Morrison Acha Kabisa...

Benard Morrison Acha Kabisa...

Mkuu,usimfanishe Chama na vitu vya kijinga.Mtu hata timu yake ya Taifa hayupo utamfananishaje na mwamba wa Lusaka,a.k.a fundi Cleotas
Yaani unafananisha timu ya taifa ya Zambia
na Ghana?! Nigga?!
Waulize kina Fraga mbona hampo timu ya
taifa?!
 
Kama hujafahamu wengi na naamini hata wewe walimfurahia zaidi pale alipojipiga chenga mwenyewe na kuleta madoido yale ya kizwazwa na si hayo mengine unayoyazungumzia wewe
Yale madoido yana shida gani kweni?
Sheria za TFF na FIFA zanasemaje kuhusu Yale madoido ?
Punguza chuki kwenye vitu visivyokua na maana.
 
Mkuu,usimfanishe Chama na vitu vya kijinga.Mtu hata timu yake ya Taifa hayupo utamfananishaje na mwamba wa Lusaka,a.k.a fundi Cleotas
Mbona unajidhalilisha mkuu?
Hivi unalinganisha timu ya taifa ya Ghana na Zambia?
Uko timamu kabisa?
 
Mpira ndio umeanza kushabikia leo nini?

Kwani ghana ubingwa wa Africa wameuchukua lini na Zambia lini??
 
Yale madoido yana shida gani kweni?
Sheria za TFF na FIFA zanasemaje kuhusu Yale madoido ?
Punguza chuki kwenye vitu visivyokua na maana.

Msikilize kocha wako naye katoa maoni gani kuhusu ule upuuzi,utajua kati yangu na wewe ni nani anayependa vitu visivyo na maana,acheni kupenda ujinga ujinga usio na msaada kwa timu kijana.Ukweli daima utakuweka huru
 
Yaani unafananisha timu ya taifa ya Zambia
na Ghana?! Nigga?!
Waulize kina Fraga mbona hampo timu ya
taifa?!

Timu ya ghana imechukua kombe la Africa mara ngapi na zambia mara ngapi tokea dunia iumbwe?
 
Usitoke nje ya mada ndugu,unavyoona wewe ghana ni kali saaaaaaaaaaaaqqqaaqana kuliko zambia?

Soka limebadilika sana acheni kukariri vyura nyie.
Mkuu unatia aibu tena sana, Ghana kamzidi Zambia kwa kila kitu, Ghana kachukua ubingwa wa Africa cup of nation mara nyingi kuliko hao Zambia.
Halafu hata kwenye FIFA ranking Ghana wapo juu kuliko Zambia. Sasa tuambie kigezo kipi ulichokitumia wewe kuifanya Zambia kuwa juu ya Ghana kisoka?
Screenshot_20200128-075552.jpeg
Screenshot_20200128-075524.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira ndio umeanza kushabikia leo nini?

Kwani ghana ubingwa wa Africa wameuchukua lini na Zambia lini??
We Mpira hujui nenda FIFA ranking kamwangalie Ghana na Zambia ujionee tofauti?

Quality ya wachezaji wa Ghana ni kubwa mno tofauti na ya Zambia hata hilo hujui?

Mara ya mwisho Zambia kufuzu fainali za kombe la dunia ni lini?

Zambia hii hii iloshindwa kwenda afcon si Tanzania tukaenda?

Hebu changamsha ubongo wako mkuu.

Swala la ubingwa hata Aston villa amechukua UEFA, Nottingham Forest kachukua UEFA Arsenal hajawahi kulichukulia.
 
Msikilize kocha wako naye katoa maoni gani kuhusu ule upuuzi,utajua kati yangu na wewe ni nani anayependa vitu visivyo na maana,acheni kupenda ujinga ujinga usio na msaada kwa timu kijana.Ukweli daima utakuweka huru
Tuelezee kwanza pale kafanya kosa gani kwanza?

Alafu mbona vile vitu vya kawaida tu inaonekana umeumia sana?

Je alivofanya vile alipoteza mpira ukaleta madhara golini kwake?
 
Mkuu unatia aibu tena sana, Ghana kamzidi Zambia kwa kila kitu, Ghana kachukua ubingwa wa Africa cup of nation mara nyingi kuliko hao Zambia.
Halafu hata kwenye FIFA ranking Ghana wapo juu kuliko Zambia. Sasa tuambie kigezo kipi ulichokitumia wewe kuifanya Zambia kuwa juu ya Ghana kisoka?
View attachment 1337785View attachment 1337786

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mbona unachanganya sana madesa?

Nimekwambia huyo ngedere wenu hana uwezo wa Chama na ndio maana huko sauzi hakutoboa,kaja kufia vyurani
 
We Mpira hujui nenda FIFA ranking kamwangalie Ghana na Zambia ujionee tofauti?

Quality ya wachezaji wa Ghana ni kubwa mno tofauti na ya Zambia hata hilo hujui?

Mara ya mwisho Zambia kufuzu fainali za kombe la dunia ni lini?

Zambia hii hii iloshindwa kwenda afcon si Tanzania tukaenda?

Hebu changamsha ubongo wako mkuu.

Swala la ubingwa hata Aston villa amechukua UEFA, Nottingham Forest kachukua UEFA Arsenal hajawahi kulichukulia.

Zamani
 
Tuelezee kwanza pale kafanya kosa gani kwanza?

Alafu mbona vile vitu vya kawaida tu inaonekana umeumia sana?

Je alivofanya vile alipoteza mpira ukaleta madhara golini kwake?

Muulize kocha wako kwanza
 
Huyo itabidi tupate pesa kumbakiza...

Tuka aondoke msuva tulikosa mtu wakutokea pembeni kuanzisha mashambulizi, ngasa kafeli,kaseke alifeli,ps kajaribu kafeli lakini morisson anaonekana ndio mtu sahihi wakutokea pembeni kama ilivyo falsafa ya club ya yanga kwa miaka mingi.
Hakika huyu jamaa anajua,ana drible,anapiga pasi zenye macho,anaweza kupunguza watu,akizidiwa anaweza kutafuta faulo au kona,ana kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi anawashambulia kutokea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom